Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Hii comment imenifanya nicheke sana.Utaanzaje 3 hata moja hukuanza!!!
Alikuwa ana waleta kwanza kwenye level za Ali Kiba halafu ata wapandisha.
We subiri utayaona hayo, hata yeye hakuwa msanii wa kimataifa ghafla ghafla tuu
Hakuna ukweli wowote hapo hizo Ni chuki binafsiHamna mi nimesema ukweli tu
Sema hadi sababu nimetoa
Waambie tena wakomeAcheni kumfananisha Kiba na vitu vya kijinga...
Mi simchukii Kiba ni msanii mkongwe namuheshimHakuna ukweli wowote hapo hizo Ni chuki binafsi
Kwani Ali kiba hajulikani kimataifa?Safi ni muda wa Mondi kumtoa Ali Kiba naye ajulikane kimataifa sasa
kuna mtu mmoja wa karibu aliniambia kua hiyo picha ni wakat diamond kaenda kenya kwa ajir ya kushurikia kollabo yake na neyo, ambae hapo kwenye picha amekatwa lkn neyo aliwasiliana na meneja wa alikiba kwa sharti kua hiyo nyimbo ya diamond waimbe watatu ila kiba alienda hapo studio aligoma akasema ni bora wafanye kama mwenye nyimbo(diamond) alivotaka. lakin ukwel ni kua neyo alitaka alikiba awepo kwenye hiyo nyimbo ambayo soon diamond ataitoaBila shaka huo ni wimbo wa kuchangia maafa yaliyotokea Kagera/Bukoba.
Nothing else
Period
Si sana anajulikana Tz na Kenya hasa hasa, domo ndo anajulikana kimataifaKwani Ali kiba hajulikani kimataifa?
Kimataifa yenyew Nigeria??? South Africa?? Ndo kimataifaSi sana anajulikana Tz na Kenya hasa hasa, domo ndo anajulikana kimataifa
Kwa kiasi Na Ali kiba anajulikana kimataifa swala n kwamba hamfikii diamond ndo maana R Kelly alimchukua kwenye wimbo wa one8 au umesahau mkuu.Si sana anajulikana Tz na Kenya hasa hasa, domo ndo anajulikana kimataifa
Hizo ndo nchi tajiri zaid Afrika hivo hapo anakuwa kafaulu ila ashafanya show kubwa na kushika chati, nchi ndogo ndogo kamaKimataifa yenyew Nigeria??? South Africa?? Ndo kimataifa
Lakin mam ile project mpango wa kwanza achukuliwe Mr Blue, una jua Kenya alienda Amani, sasa Amani ni msanii wa wapi kama si Tz na Kenya basKwa kiasi Na Ali kiba anajulikana kimataifa swala n kwamba hamfikii diamond ndo maana R Kelly alimchukua kwenye wimbo wa one8 au umesahau mkuu.
Asante kwa maelezo mkuu.kuna mtu mmoja wa karibu aliniambia kua hiyo picha ni wakat diamond kaenda kenya kwa ajir ya kushurikia kollabo yake na neyo, ambae hapo kwenye picha amekatwa lkn neyo aliwasiliana na meneja wa alikiba kwa sharti kua hiyo nyimbo ya diamond waimbe watatu ila kiba alienda hapo studio aligoma akasema ni bora wafanye kama mwenye nyimbo(diamond) alivotaka. lakin ukwel ni kua neyo alitaka alikiba awepo kwenye hiyo nyimbo ambayo soon diamond ataitoa
Anatukuzwa anaejua Mond kumtoa kuba kimataifa usishangaeJibu zuri mkuu mwambie huyo mtu akitoka kwa juhud zake et domo kuna watu wanamuhusudu domo kuliko Mungu wao wa mbinguni
Angekuwa hajui angepiga colabo na kina R Kelly.. U can't be seriousAnatukuzwa anaejua Mond kumtoa kuba kimataifa usishangae
Kiba kaanza kupiga muziki toka miaka 2000 bado alikosa maendeleo daimond wa juzi tu muziki wake umekua wa kimataifa zaidi
Yaani hiyo kukubaliwa kufanya na mzee wa Rnb Kama R Kelly hiyo inatosha kwamba anajua, swali ni je R Kelly anamjua huyo diamondKwa kiasi Na Ali kiba anajulikana kimataifa swala n kwamba hamfikii diamond ndo maana R Kelly alimchukua kwenye wimbo wa one8 au umesahau mkuu.
Sasa kwann usiseme tu Africa? Au hujui maana ya kimataifa?? Kimataifa it means hadi Us, UK n.k acheni kumkuza huyo domo wenu hajafikia level hizoHizo ndo nchi tajiri zaid Afrika hivo hapo anakuwa kafaulu ila ashafanya show kubwa na kushika chati, nchi ndogo ndogo kama
Uganda, Rawnda, Burundi , Angola, Ivory Cost, Ghana, Congo Zimbabwe, kikwete ana kwambua alikuwa ethiopia huko akakuta watu wanasikilza my number 1
Domo Kasha shinda Tuzo ya
Channel 0
Mtv MAMA awards
Tuzo za Nigeria na SA Kibao
Kashakuwa nominated
BET(mara 2)
Mtv EUROPE
Jamani kweli kwa CV hii utamuweka sawa na msanii gani Bongo!!?
Labda tuwe tunamchukia tuu, hambi ambalo najua wewe hauko hivo huchukii watu bila sababu
Ahahaaaah...Sasa kwann usiseme tu Africa? Au hujui maana ya kimataifa?? Kimataifa it means hadi Us, UK n.k acheni kumkuza huyo domo wenu hajafikia level hizo
Jibu zuri mkuu mwambie huyo mtu akitoka kwa juhud zake et domo kuna watu wanamuhusudu domo kuliko Mungu wao wa mbinguni