Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Kiba & Mondi wapo pamoja studio

Hakuna ukweli wowote hapo hizo Ni chuki binafsi
Mi simchukii Kiba ni msanii mkongwe namuheshim
Yaan tuko pamoja tuu
Sema sasa kumpita domo ilo ndo bado, labda akazane atakuja fanya hivo baadaye.

Site ni team kiba sote ni team domo as long as tuna penda mziki
 
Bila shaka huo ni wimbo wa kuchangia maafa yaliyotokea Kagera/Bukoba.
Nothing else
Period
kuna mtu mmoja wa karibu aliniambia kua hiyo picha ni wakat diamond kaenda kenya kwa ajir ya kushurikia kollabo yake na neyo, ambae hapo kwenye picha amekatwa lkn neyo aliwasiliana na meneja wa alikiba kwa sharti kua hiyo nyimbo ya diamond waimbe watatu ila kiba alienda hapo studio aligoma akasema ni bora wafanye kama mwenye nyimbo(diamond) alivotaka. lakin ukwel ni kua neyo alitaka alikiba awepo kwenye hiyo nyimbo ambayo soon diamond ataitoa
 
Kimataifa yenyew Nigeria??? South Africa?? Ndo kimataifa
Hizo ndo nchi tajiri zaid Afrika hivo hapo anakuwa kafaulu ila ashafanya show kubwa na kushika chati, nchi ndogo ndogo kama
Uganda, Rawnda, Burundi , Angola, Ivory Cost, Ghana, Congo Zimbabwe, kikwete ana kwambua alikuwa ethiopia huko akakuta watu wanasikilza my number 1
Domo Kasha shinda Tuzo ya
Channel 0
Mtv MAMA awards
Tuzo za Nigeria na SA Kibao

Kashakuwa nominated
BET(mara 2)
Mtv EUROPE

Jamani kweli kwa CV hii utamuweka sawa na msanii gani Bongo!!?

Labda tuwe tunamchukia tuu, hambi ambalo najua wewe hauko hivo huchukii watu bila sababu
 
Kwa kiasi Na Ali kiba anajulikana kimataifa swala n kwamba hamfikii diamond ndo maana R Kelly alimchukua kwenye wimbo wa one8 au umesahau mkuu.
Lakin mam ile project mpango wa kwanza achukuliwe Mr Blue, una jua Kenya alienda Amani, sasa Amani ni msanii wa wapi kama si Tz na Kenya bas
Namlaumu Kiba hakutumia nafasi ili atoke kimataifa, na sasa namlaumu domo kwa nn hamtoi mwenzie akati yeye kasha toka
 
kuna mtu mmoja wa karibu aliniambia kua hiyo picha ni wakat diamond kaenda kenya kwa ajir ya kushurikia kollabo yake na neyo, ambae hapo kwenye picha amekatwa lkn neyo aliwasiliana na meneja wa alikiba kwa sharti kua hiyo nyimbo ya diamond waimbe watatu ila kiba alienda hapo studio aligoma akasema ni bora wafanye kama mwenye nyimbo(diamond) alivotaka. lakin ukwel ni kua neyo alitaka alikiba awepo kwenye hiyo nyimbo ambayo soon diamond ataitoa
Asante kwa maelezo mkuu.
 
Jibu zuri mkuu mwambie huyo mtu akitoka kwa juhud zake et domo kuna watu wanamuhusudu domo kuliko Mungu wao wa mbinguni
Anatukuzwa anaejua Mond kumtoa kuba kimataifa usishangae
Kiba kaanza kupiga muziki toka miaka 2000 bado alikosa maendeleo daimond wa juzi tu muziki wake umekua wa kimataifa zaidi
 
Angekuwa hajui angepiga colabo na kina R Kelly.. U can't be serious
 
Kwa kiasi Na Ali kiba anajulikana kimataifa swala n kwamba hamfikii diamond ndo maana R Kelly alimchukua kwenye wimbo wa one8 au umesahau mkuu.
Yaani hiyo kukubaliwa kufanya na mzee wa Rnb Kama R Kelly hiyo inatosha kwamba anajua, swali ni je R Kelly anamjua huyo diamond
 
Hizo ndo nchi tajiri zaid Afrika hivo hapo anakuwa kafaulu ila ashafanya show kubwa na kushika chati, nchi ndogo ndogo kama
Uganda, Rawnda, Burundi , Angola, Ivory Cost, Ghana, Congo Zimbabwe, kikwete ana kwambua alikuwa ethiopia huko akakuta watu wanasikilza my number 1
Domo Kasha shinda Tuzo ya
Channel 0
Mtv MAMA awards
Tuzo za Nigeria na SA Kibao

Kashakuwa nominated
BET(mara 2)
Mtv EUROPE

Jamani kweli kwa CV hii utamuweka sawa na msanii gani Bongo!!?

Labda tuwe tunamchukia tuu, hambi ambalo najua wewe hauko hivo huchukii watu bila sababu
Sasa kwann usiseme tu Africa? Au hujui maana ya kimataifa?? Kimataifa it means hadi Us, UK n.k acheni kumkuza huyo domo wenu hajafikia level hizo
 
Back
Top Bottom