Kibaha: Mwanafunzi atoroka nyumbani tangu August 18,2023. Inadaiwa kaenda kwa mpenzi wake

You dont need to pray for that, Mungu alipo kuumba alikuumba ukiwa umekamilika kabisa mkuu., Kwa kutumia akili yako unaweza kumdhibiti mtoto wako vizuri sana. ( Usije sema " kwa akili zetu hatutoweza") kwa sababu ukweli ni kwamba akili tulizo nazo sio za kwetu ni za Mungu.

If you actually want to go down to that level basi muombe Mungu akupe ujasiri wa kupokea habari mbaya kuhusu watoto wako.
Binadamu anaakili sana na binadamu huyohuyo ni mvivu wa kufikiri
 
Duh! Dunia inaenda kasi sana,
Leo hii wazazi ndio wanjishusha kwa watoto,
Malezi gani haya hata kama hajulikani alipo?

Anyway maelezo ya mwisho kwa rafiki yake yanajieleza vizuri waondoe shaka!

Ila mama achukue number ilikohamishiwa hela aende nayo polisi akalalamike hao watamfatilia na kujiua alipo huyo aliyerushiwa hela aweza kuwa ndo boyfriend wa kadogoo just simple like that!
 
Mkisumbua boyfriend atatishia kumuua kabisa
 
...boyfriend wake na uyu mtoto jaman amrudishe... Najua umeshakula saiv unajuta juta... Mrudishe tu ata kama ushamtia mimba ili mama mkwe atulie atakufa na presha jamani mama atakuw anamkumbuka mwanae dah! Katoe bc ata taarifa tu uoe... Sio vizur bana... Na wew mtoto uliesepa fanya ata kutuma ujumbe nyumbn wapumue asee... Uchungu wa mwana aujuae mzazi/mlezi...
 
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023

@AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya kuugua akiwa Shuleni ambapo Aug 14,2023 alihamisha Tsh. Laki 1 kutoka kwenye simu ya Mama yake kwenda laini yake bila Mama yake kugundua na pia Aug 15,2023 alihamisha tena Tsh. laki 1 ambayo Mama yake aligundua na akaizuia.

“Baada ya kumuuliza mwanzoni alikataa lakini Kaka yake alipomchapa akakiri kweli alichukua, baadaye akaondoka nyumbani na mpaka leo hatujui yupo wapi, tumetoa taarifa Polisi, tumemsaka ni mwezi sasa hajarudi, Rafiki yake Adelina anasema alipotoka hapa nyumbani alienda kwao na akamuambia anaenda kwa Boyfriend wake.

Nawaomba Watanzania mnisaidie nimpate Mwanangu, na Mwanangu popote alipo kama ananisikia naomba arudi nyumbani, kuhusu pesa nimemsamehe.

Namba zangu ni 0713547825”

USHAURI WANGU KWA MAMA SADA: USIMTAFUTE SADA. AKIRUDI ATAKUPANDA KICHWANI MARA KUMI. MUACHE DUNIA IMFUNDISHE. ATARUDI MWENYEWE..
Picha?
 
Duh! Dunia inaenda kasi sana,
Leo hii wazazi ndio wanjishusha kwa watoto,
Malezi gani haya hata kama hajulikani alipo?

Anyway maelezo ya mwisho kwa rafiki yake yanajieleza vizuri waondoe shaka!

Ila mama achukue number ilikohamishiwa hela aende nayo polisi akalalamike hao watamfatilia na kujiua alipo huyo aliyerushiwa hela aweza kuwa ndo boyfriend wa kadogoo just simple like that!
Tunavuna ''mavuno" yatokanayo na mbegu tulizopanda enzi hizi za kidigitali. Kizazi hiki kimedekezwa vya kutosha na wazazi hasa wale waliolelewa na "House girls" na "Single mothers". Enzi zetu huyu angekula kipigo kitakatifu na akitudi ni kipigo cha jehanamu
 
Wasichana wa miaka hii wanachanganyikiwa haraka sana na mikuyati. Mimi mwenyewe hapa kuna toto la binamu yake na mke wangu limepagawa na dudu mpaka linatoka na watu wazima, miaka 17 tu lakini hatari! Shenzi type kabisa! Juzi nimelikamata na simu yenye mambo machafu kuliadhibu eti linatoroka, wiki moja linapuyanga mitaani njaa ilipolinyoosha ndipo likakumbuka kurudi! Ipo siku nitakosa uvumilivu nilipige mhogo wa Jang'ombe mpaka lichukie mihogo! Shenzy kabisa!
 
Huyo sada wamwache afurahie Maisha yake, dunia itamfunza hatarudi nyumbani kwa aibu na kuweka matako chini.
 
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023

@AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya kuugua akiwa Shuleni ambapo Aug 14,2023 alihamisha Tsh. Laki 1 kutoka kwenye simu ya Mama yake kwenda laini yake bila Mama yake kugundua na pia Aug 15,2023 alihamisha tena Tsh. laki 1 ambayo Mama yake aligundua na akaizuia.

“Baada ya kumuuliza mwanzoni alikataa lakini Kaka yake alipomchapa akakiri kweli alichukua, baadaye akaondoka nyumbani na mpaka leo hatujui yupo wapi, tumetoa taarifa Polisi, tumemsaka ni mwezi sasa hajarudi, Rafiki yake Adelina anasema alipotoka hapa nyumbani alienda kwao na akamuambia anaenda kwa Boyfriend wake.

Nawaomba Watanzania mnisaidie nimpate Mwanangu, na Mwanangu popote alipo kama ananisikia naomba arudi nyumbani, kuhusu pesa nimemsamehe.

Namba zangu ni 0713547825”

USHAURI WANGU KWA MAMA SADA: USIMTAFUTE SADA. AKIRUDI ATAKUPANDA KICHWANI MARA KUMI. MUACHE DUNIA IMFUNDISHE. ATARUDI MWENYEWE..
Yuko kwa bwana ake hiyo ilikuwa ya kuanzia maisha.
 
Back
Top Bottom