Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komwe ndio nini?Baada ya wiki mbili Ataludi na MIMBA.
Shezi kabisa... 😡😡.
Bora jiwe alisema, "Afadhali ushike komwe lake, lakini siyo kumpa nimba mwanafunzi"
Binadamu anaakili sana na binadamu huyohuyo ni mvivu wa kufikiriYou dont need to pray for that, Mungu alipo kuumba alikuumba ukiwa umekamilika kabisa mkuu., Kwa kutumia akili yako unaweza kumdhibiti mtoto wako vizuri sana. ( Usije sema " kwa akili zetu hatutoweza") kwa sababu ukweli ni kwamba akili tulizo nazo sio za kwetu ni za Mungu.
If you actually want to go down to that level basi muombe Mungu akupe ujasiri wa kupokea habari mbaya kuhusu watoto wako.
Mkisumbua boyfriend atatishia kumuua kabisaDuh! Dunia inaenda kasi sana,
Leo hii wazazi ndio wanjishusha kwa watoto,
Malezi gani haya hata kama hajulikani alipo?
Anyway maelezo ya mwisho kwa rafiki yake yanajieleza vizuri waondoe shaka!
Ila mama achukue number ilikohamishiwa hela aende nayo polisi akalalamike hao watamfatilia na kujiua alipo huyo aliyerushiwa hela aweza kuwa ndo boyfriend wa kadogoo just simple like that!
Ni Jamii ya mbaazi.Komwe ndio nini?
...nimecheka sana [emoji23] watu mshayapa na jina et makalai [emoji23]Hayo makarai na D za kutosha KWA form 2 private school ni kupafom chini ya kiwango
Si unajua umbo la karai? C flani hivi...nimecheka sana [emoji23] watu mshayapa na jina et makalai [emoji23]
Picha?Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023
@AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya kuugua akiwa Shuleni ambapo Aug 14,2023 alihamisha Tsh. Laki 1 kutoka kwenye simu ya Mama yake kwenda laini yake bila Mama yake kugundua na pia Aug 15,2023 alihamisha tena Tsh. laki 1 ambayo Mama yake aligundua na akaizuia.
“Baada ya kumuuliza mwanzoni alikataa lakini Kaka yake alipomchapa akakiri kweli alichukua, baadaye akaondoka nyumbani na mpaka leo hatujui yupo wapi, tumetoa taarifa Polisi, tumemsaka ni mwezi sasa hajarudi, Rafiki yake Adelina anasema alipotoka hapa nyumbani alienda kwao na akamuambia anaenda kwa Boyfriend wake.
Nawaomba Watanzania mnisaidie nimpate Mwanangu, na Mwanangu popote alipo kama ananisikia naomba arudi nyumbani, kuhusu pesa nimemsamehe.
Namba zangu ni 0713547825”
USHAURI WANGU KWA MAMA SADA: USIMTAFUTE SADA. AKIRUDI ATAKUPANDA KICHWANI MARA KUMI. MUACHE DUNIA IMFUNDISHE. ATARUDI MWENYEWE..
Tunavuna ''mavuno" yatokanayo na mbegu tulizopanda enzi hizi za kidigitali. Kizazi hiki kimedekezwa vya kutosha na wazazi hasa wale waliolelewa na "House girls" na "Single mothers". Enzi zetu huyu angekula kipigo kitakatifu na akitudi ni kipigo cha jehanamuDuh! Dunia inaenda kasi sana,
Leo hii wazazi ndio wanjishusha kwa watoto,
Malezi gani haya hata kama hajulikani alipo?
Anyway maelezo ya mwisho kwa rafiki yake yanajieleza vizuri waondoe shaka!
Ila mama achukue number ilikohamishiwa hela aende nayo polisi akalalamike hao watamfatilia na kujiua alipo huyo aliyerushiwa hela aweza kuwa ndo boyfriend wa kadogoo just simple like that!
Yuko kwa bwana ake hiyo ilikuwa ya kuanzia maisha.Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023