TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

Mbona hatulaani kutekwa na kuuawa kwa wasio wanaccm? Kuna sheria inayokataza nyumba ya diwani wa CCM kuungua? Shule ngapi zenye idadi kubwa sana ya wanafunzi zimeungua moto na hakuna kiongozi aliyeonekana kujali kama ilivyotokea Kibaha! Tanzania si mali ya wanaccm na CCM iache kujenga uhasama kwani mwisho itajenga ugaidi.
 
Lissu alivyopigwa risasi mbona hukulaani tukio hilo? Inakuwaje leo hii uwalazimishe watanzania kulaani kilicho kugusa wewe?
 
Watanzania tuwalaani wafuatao:-

1. Aliyewaleta Warundi waje kuua ndugu zetu Pemba.
2. Aliyeharibu uchaguzi
3. Anayewatishia raia usalama wao hadi wanakimbia nje ya nchi
4. Anaye wafyatulia risasi wapinzani kisa tu Wana fikra tofauti
 
Chuki hazijengi kisasi kina mwenyewe na waliohusika kuna anayewatambua na uovu wao huu, pumzikeni kwa Amani ndugu zetu
 
Ndugu zangu watanzania tuache kuuana, tulikuwa wamoja na tuendelee hivyo hivyo. Siasa zitapita. Tuvumiliane maana haya nayo yatapita.

Kummuua mwenzako siyo jibu la haya tunayoyaona. Mungu ndiye mwenye kulipiza kisasi.
Mwambie kwanza dikteta ndiyo kaanzisha hii tabia
 
Aende anapostahili. Ila tofautisheni kati ya mteule na mchanguliwa. Huyu marehemu ni mchaguliwa siyo mteule. Hata magufuri siyo mteule ni mchaguliwa.
 
Mungu yupi Unayemwongelea Hapa." tunaambiwa Mungu alishaipa Mgongo Africa"( God already left Africa) tupo Wenyewe bro. Kilichobaki ni Samaki Mkubwa Kummeza Mdogo.
Tatizo badala ya kutumia akili zetu tunatumia za kupewa na wazungu. Tazama sasa ushoga ni kigezo cha demokrasia.
 
Back
Top Bottom