TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

Ndugu zangu watanzania tuache kuuana, tulikuwa wamoja na tuendelee hivyo hivyo. Siasa zitapita. Tuvumiliane maana haya nayo yatapita.

Kummuua mwenzako siyo jibu la haya tunayoyaona. Mungu ndiye mwenye kulipiza kisasi.
Umeongea vizuri sana
 
Watanzania wote bila kujali itikadi zetu tupaaze sauti zetu na kuwalaani vikali watu wasiojulikana waliochoma moto nyumba ya diwani mteule wa CCM mh Fatma Ngozi.

Ni tukio baya sana kwa kweli.

Wote tunaolaani mauaji haya ya kinyama tukutane hapa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndugu zangu watanzania tuache kuuana, tulikuwa wamoja na tuendelee hivyo hivyo. Siasa zitapita. Tuvumiliane maana haya nayo yatapita.

Kummuua mwenzako siyo jibu la haya tunayoyaona. Mungu ndiye mwenye kulipiza kisasi.
Kwani umemfahamu aliyechoma moto?
 
Ndugu zangu watanzania tuache kuuana, tulikuwa wamoja na tuendelee hivyo hivyo. Siasa zitapita. Tuvumiliane maana haya nayo yatapita.

Kummuua mwenzako siyo jibu la haya tunayoyaona. Mungu ndiye mwenye kulipiza kisasi.
Kwani habar inasema ameuawa? Ngoja polisi wafanye uchunguzi wao
 
Polisi wenyewe wanasema bado hawajui chanzo cha moto huo, bado wanafanya uchunguzi, wewe tayari unawalaani waliochoma nyumba moto!! Kumbe unawajua? Kwa nn usiwasaidie polisi kuwatambua wahalifu hao?
" wasiojulikana ". uwe unaelewa!
 
MWENYEZI MUNGU, awafanyie wepesi Wapumzike kwa amani,kifo cha moto ni cha mateso Sana, pole kwa wanafamilia wote, jamaa na majirani, R. I. P fatma na wajukuu
 
Hapo ndo mnapokosea, matendo kama haya yakiwakuta Wapinzani likes CHADEMA, ACT huwa mnakaa kimya.

Thats why yakiwakuta ninyi hakuna anaewaonea huruma, hii italeta matokeo mabaya sana kwa taifa letu, Vijana ambao ni kizazi cha kesho wanacheka huku wanalia, ipo siku aijuaye Allah mtaliingiza taifa mahala pabaya sana.
 
Kwqnza kabisa, napinga vitendo vyote vya kutumia nguvu katika siasa, popotw, kwa yoyote, bula kujali itikqdi au chama.

Zaidi ya hapo, hapa chini naelezea tu.

Wqingereza wanasema "It's the chicken coming home to roost."

Wahindi wanaita "karma".

Kwenye physics kuna Newton's third law , for every action there is an equal and opposite reaction.

Waswahili walisema "Mkuki mtanu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu."

What more can I say?
 
Uchunguzi haujakamilika lkn wabongo wameshahitimisha kuwa kachomewa nyumba yake.
 
Back
Top Bottom