Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafiki. Hawa wa bara na visiwani wanavyouliwa ni jambo jema?Sio Jambo Jema maana limechukua uhai wa watu.
Mungu yupi Unayemwongelea Hapa." tunaambiwa Mungu alishaipa Mgongo Africa"(God already left Africa) tupo Wenyewe bro. Kilichobaki ni Samaki Mkubwa Kummeza Mdogo.Oohh Tanzanzia Yangu unaenda wapi? Nini Tanzania tumekukosea?
Ee Mungu huruma na upendo wako mtose yona baharin ili bahari iwe shwari. Safari iendelee kwa usalama. Amina
Mbaya sana hii. Madaraka yanatugawa, badala ya kutuunganishaPoleni wafiwa. Watanzania tumeingizwa kwenye tanuru la moto kwa uchoyo wa mtu mmoja.
Wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe. Kweli shetani hana rafiki.
R. I. P
Ndomaana viongozi wao wanaanza kutoroka,wengine wanakimbilia ubalozini mapema.
True😊😊Jiwe kawaandaa wtz waishi kiuadui sana. Ukiona hivo ujue hawakumchagua.
Itakuwa alionesha nia ya kugombea umeya wa mji!Labda kura za maoni za CCM. Huku kwingine Ntibantunganya alisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
If Tanzanians are of this like, then we are doomed. Let's hope it's otherwise.Passive Aggressive Tanzanians: Farmers by day, soldiers by night.