TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

Oohh Tanzanzia Yangu unaenda wapi? Nini Tanzania tumekukosea?

Ee Mungu huruma na upendo wako mtose yona baharin ili bahari iwe shwari. Safari iendelee kwa usalama. Amina
 
Oohh Tanzanzia Yangu unaenda wapi? Nini Tanzania tumekukosea?
Ee Mungu huruma na upendo wako mtose yona baharin ili bahari iwe shwari. Safari iendelee kwa usalama. Amina
Mungu yupi Unayemwongelea Hapa." tunaambiwa Mungu alishaipa Mgongo Africa"(God already left Africa) tupo Wenyewe bro. Kilichobaki ni Samaki Mkubwa Kummeza Mdogo.
 
Heri iwe ajari ya kawaida maana itakuwa ni kwa mpango wa Mungu mwenyewe, Ila kama itakuwa kwasababu za kisiasa bhas watanzania tumefikishwa hatua mbaya Sana. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina
 
Kiama kwa wapinzani waliosemezana au kugombana naye wakati wa uchaguzi watahenyeshwa hadi ije ijulikane. Pengine ni ajali ama ni yale magaidi yana 'take chance' upya
 
Ndiyo show zimeanza, andaa popcorn. Tulisema nchi itaenda pabaya, ndiyo kwanza trailer bado movie. Pole sana kwa familia, watu ambao hata hawakuhusika yamewakuta haya, yote sababu ya nyani moja katumia nguvu nyingi mno kujibakiza mjengoni.

Haijawahi tokea mtu mbaya ka jiwe toka Tanzania ianze, hata before wakoloni walikua better kuliko jiwe
 
Back
Top Bottom