TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

Kwanini wanasema imechomwa? Inawezekana kulikua na hitilafu ya umeme.
 
Vitendo hivi havikubaliki kama kweli vinafanywa kisiasa tuombe iwe ni ajali ya kawaida lakini kama vinafanywa kwa chuki za kichama hapana ni lazima tuvikemee nchi nzima haijalishi sababu.

Mimi siungi mkono kama kabisa mtu yoyote anayehatarisha amani katika nchi haijalishi wewe nani. Nchi kwanza amani kwanza mengine tusemane kawaida tu.
 
Ya nini kuwasababishia malaika wa Mungu maumivu na uchungu mkali kiasi hiki?
 
Hivi mleta mada inaandikaje ameuawa? Unajua maana yake? Ungesema nyumba imeungua moto na kuwaua. Then uchunguzi utakuja kutuambia kama kulikuwa na hitilafu ya umeme au mkono wa mtu. Anaandika thread kama anakimbizwa kama na lile gari la polisi la maji washa na mabomu. Haha haha.

Rest Easy waliopotea maisha.
 
Tangu nifiwe na mtu wa karibu sijawahi hisi nadaiwa kuandika R. I. P ila siyo leo. I can't imagine bibi alivyokua anajitahidi kuwaokoa wajukuu and then slowly lose consciousness as kwenye moto wa nyumbani you are more likely to die from smoke before fire.

Hope askari watarule out chanzo cha moto.
 
Back
Top Bottom