Ni kazi ya wavuta bangi wa Lissu hao hakuna wengine ni CHADEMA tu hao hakuna wengine na hilo liko wazi
Uhuni upi? Wewe mwenyewe kura hukupigaAnza kulaani uhuni uliofanywa dhidi ya upinzani kama kweli wewe ni mpenda haki1
CCM sasa nadhani wameanza kuigawa nchi vipande vipandeTulaani kwa kuwa aliyeuawa ni mwanadamu mwenye haki ya kuishi.
Ukishaweka maneno kama diwani wa CCM n.k, unaifanya taarifa yako ieleweke kisiasa.
Mwisho, pole kwa waliofikwa na msiba.
HakikaKifo hakina chama.
Kauli kama hii haipaswi kutolewa na mti kama wewe, vyombo vya habari haukuviona wala kusikia? Kama unachagua kipi cha kulaani kwa nini usiwaite Lumumba wenzio mkalaani.Taarifa zimetolewa na nani?
Kupigwa risasi sio bundukiMkuu umekosea kiswahili kidogo, kuuawa maana yake ni mtu anahusika kuutoa uhai wako mfano kupigwa bunduki, kupigwa mawe nk,kwa huyo diwani kafariki kwa ajari ya moto
Hata mimi naunga mkonoWajukuu pumziken kwa amani
Mwambie kwanza dikteta ndiyo kaanzisha hii tabiaNdugu zangu watanzania tuache kuuana, tulikuwa wamoja na tuendelee hivyo hivyo. Siasa zitapita. Tuvumiliane maana haya nayo yatapita.
Kummuua mwenzako siyo jibu la haya tunayoyaona. Mungu ndiye mwenye kulipiza kisasi.
Itakua huo umeme ulisababishwa kufanya hitilafu.Kama moto ulisababishwa na hitilafu ya Umeme.
Tatizo badala ya kutumia akili zetu tunatumia za kupewa na wazungu. Tazama sasa ushoga ni kigezo cha demokrasia.Mungu yupi Unayemwongelea Hapa." tunaambiwa Mungu alishaipa Mgongo Africa"( God already left Africa) tupo Wenyewe bro. Kilichobaki ni Samaki Mkubwa Kummeza Mdogo.
Wale wengine walikutwa na dumu la petroli na mapanga. Sijui kwa kazi gani.Ndomaana viongozi wao wanaanza kutoroka,wengine wanakimbilia ubalozini mapema.