KIBAHA: Wakili Riziki Majallah auwawa na mwanaye wa kumzaa kisa kumnyima pesa

Aisee
 
RIEP Wakili. Mtoto amezingua sana. Ila pia hakuna anayejua historia nzima ya mtoto mpaka amefikia hapo. Ukiangalia sana, ni mgonjwa wa akili na hakuna adhabu ya maana itakayo msaidia kama akili zaken zimeenda halijojo.

Kulea ni kazi ngumu sana. Tusisahau kuwaombea watoto wetu pia.
 
well said, lakini pia hata ili la ugonjwa wa akili tunapaswa kuwasubiri madokta kuthibitisha kwanza​
 
Umeandika kijinga sana
 
Ni mambo TU ya kuigana,maraisi wetu wote Hawakusoma hizo English medium,kuna rafiki yangu mmoja kiatu alivaa kuingia form one!,Hata kwenda shule ilipo alikuwa hajawifika,Hivi Sasa ni bonge la boss kwenye taasisi nyeti!Hajajisahu ! Watoto wake pia wamesoma kayumba na ni vichwa hasa,mmoja ni injinia makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…