KIBAHA: Wakili Riziki Majallah auwawa na mwanaye wa kumzaa kisa kumnyima pesa

Mtt akiwa mdg una mnunulia gari za watt
Akikua sec una mpa lako anaenda nalo shule
Anamaliza chuo anataka lake sasa harrier tako la nyani alafu dingilai pesa huna
Sidhani kama uko sahihi. Kna watoto wengi sana wanakuzwa kwenye mazingira kama haya na wanaishi vizuri na kuheshimu wazazi tu. Kumnyima mtoto wako matunzo mazuri kama una uwezo siyo sababu ya kumfanya awe mtii.
 
Kuna mahala wakili alikosea katika malezi ya huyu mtoto.
Siyo lazima iwe hivyo. Kuna watoto wanalelewa vizuri tu baada ya kuwa wakubwa wanaingia kwenye vikundi vibaya eg vya madawa ya kulevya. japo nakubali kuwa malezi mazuri ni muhimu, lakini pia siyo hakikisho kuwa mtoto hatabadilika baada ya kuwa mkubwa.
 
Naunga mkono hoja,mawakili wanachukuwa sana pesa za wateja wao,na pia kuwadanganya kuhusu kesì,kesi wanachukuwa mamilioni ya pesa,bila kujali uwezo wa mteja wake.
Na muda mwingine wanakudouble cross, yani wao wanaigeuza kesi yako planned gam anaewekq dau kubwa ndo anashinda case wanagawana chao wanapita hivi unabaki unalialia.
 
Kumdekeza mtoto sana kwa kumpa kila kitu ni TATIZO kubwa sana, ila sioni tatizo katika kumsomesha EMs​
Inaweza pia kuwa mchoyo sana kwa mtoto na kumnyima kila anapokuomba kitu
Hii pia inaweza kuleta chuki kwa mtoto maana kila anapokuomba ukamwambia kwenda huko sina hela mimi na huku akiona kabisa uwezo unao wa kumpa, pia hili linaleta matatizo
Mali ni tatizo pia watoto
 
Hii ni kweli kabisa, ninacho pinga mimi ni ilo suala la kusema mtoto kusoma EMs anaharibikiwa.​
 
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
100% Fact.
 
Hii ni kweli kabisa, ninacho pinga mimi ni ilo suala la kusema mtoto kusoma EMs anaharibikiwa.​
Sio kweli, na mimi naona jamaa hapendi tu shule hizo au ana lake tu
Kusomesha watoto mimi niwasomesha mpaka nje ya nchi na ni kawaida
Watoto wana maadili mazuri kwa kuwafundisha mema kila wakati
Wengi wa wazazi wanaongea na watoto kama watoto ila wengine tunaongea nao kama wakubwa na kuwagundisha kila kitu wangali wadogo
Jaza ubongo wao kwa mema wakiwa wadogo ili wasipate kushawishika na mabaya
 
Mbona wewe kuna uzi niliona umeandika wanao wanasoma Olimpio

kwani sio English Medium hiyo...?
Hawasomi Olympio wanangu. Walikuwa English Medium ya Private nikawatoa nimewaleta Kayumba. Mmoja ndio nilipoteza hela alisoma is kwanza hadi saba ENGLISH MEDIUM na sasa hivi yupo form four.
 
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
sasa sample yako kati ya EMs na kayumba wapi kuna kundi kubwa la watu???
na hata hivyo tukizoa sample sawa kila pande bado utakuta EMs ni viazi zaidi.ndio vishoga vingi vinatoka huko,vinasagana sana,akili dhaifu zisizo na kasi a kutosha kupambana na changamoto,hata mapenzi tu mtu anachukua maamuzi magumu.

yote kwa yote sio sifa kusomesha mtoto shule duni,mengine ni matokeo tu.
 
Sawa, ni kweli usemayo but hayabadilishi fact kwamba watoto wengi wenye tabia za hovyo hutokea kayumba.

Labda kama haujawahi kusoma kayumba, mimi nimesoma EMs nursery (St. Home Nursery & Primary School) kayumba primary (Shule ya msingi Nkuhungu) , then EMs O level (DCT Mvumi), Advnc nikasoma kayumba (Shule ya sendondari ya Wavulana Tandahimba) na chuo nikamaliza cha private (Tumaini Makumira). Kwahiyo naweza sema nina Experiance kidogoo na mazingira haya yote (Ya kayumba na EMs). Kiukweli watu wa kayumba wamevurugwa mkuu kuliko wa EMs.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…