Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

Mkuu Mshana Jr naona Kibaha hawacheki na kima
 
"A witch will always be a witch" hawajui namna nyingine ya kujipatia riziki mbali na uhalifu. Nadhani jela ndio mahali salama zaidi kwao
 
Huko jela wanatakiwa watoke na life skills za kuja ku survive mtaani! Ndio maana wanafunzw kufanya productive activities
 
Mwanangu sudi tulikuwa nae Manzese enzi hizo aliiba akapata msamaha hivyo hivyo

Ila pamoja na msamaha alikuwa akiiba nduguze wanamtoa maana hela na connection walikuwa nazo sema toto lilikuwa jinga

Ila akarudia tena ila safari hii walivyomshika walimpiga ,walimbonda mpka mapumbu walimtoboa mpka na spoku za moto
 
Eeh wazee wa liwezekanalo sasa...lisingoje baadae! Watu wamechafukwa nafsi na haya maisha!
Kuna mitaa flani hapo kwa mathias wengi waliojenga ni wanajeshi,wazee wa suti nyeusi aisee pale hua hawacheleweshi.

Mwizi akijichanganya ni imeisha hioooo.
 
Wanafiki, wakiwa kwenye media wanasema hivyo lakini wakifika kwenye matukio wakaona wezi wanapumua wanaelekeza lawama kwa wananchi kwanini wanafanya kazi nusunusu

[emoji23][emoji23][emoji23] sa ulitaka wawasaidie wezi? Ukiona hivyo ujue nao wamewachoka. Mtu anaiba, anafungwa, anapewa msamaha wa rais, anatoka kifungoni kurudi uraiani, anaiba tena [emoji848][emoji848]. Hapo lazima raia walaumiwe kwa kufanya kazi nusu nusu [emoji23]
 
Kuna mitaa flani hapo kwa mathias wengi waliojenga ni wanajeshi,wazee wa suti nyeusi aisee pale hua hawacheleweshi.

Mwizi akijichanganya ni imeisha hioooo.
Mkuu Shukrani za dhati kwa hili dokezo 'hint'. Sasa nitaenda maeneo hayo kuiba maksudi tu hili nichangamshe na kupasha martial art skills zangu ambazo kwa muda sasa zimepoa.
 
"A witch will always be a witch" hawajui namna nyingine ya kujipatia riziki mbali na uhalifu. Nadhani jela ndio mahali salama zaidi kwao
Wanauwezo mkubwa kukwepa makosa yao mbele yamahakama nandomana hukmbana na adhabu ndogo ,pia askari mchukua maelezo nae hua anaweza pigwa chenga yamwili kwenye maelezo....

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Shukrani za dhati kwa hili dokezo 'hint'. Sasa nitaenda maeneo hayo kuiba maksudi tu hili nichangamshe na kupasha martial art skills zangu ambazo kwa muda sasa zimepoa.
Hahah karibu mkuu,pale watu wanamiliki vyuma vya moto viwili viwili per house.

Ile unafanya tu Mae Geri,Choku Zuki,Mawashi Geri utakutana risasi ya kichwa ubongo wote chini.
 
Jeshi letu la Polisi linapaswa kuteketeza Vijiwe vyote vya Uvutaji na uuzaji wa Bangi ambavyo kimsingi mdio mazalia ya uhalifu wa kila aina.

kufanyike msako maalum seriously tutateketeza kabisa uhalifu mitaani.

Mamlaka zinazo toa mapendekezo ya Misamaha kwa wafungwa iwe makini sana ktk kupendekeza majina ya wanao paswa kupewa msamaha wa Rais. uadilifu na umakini ni muhimu sana wakati wa zoezi.
 
Sio mbaya huo ndio msamaha wa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…