Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Si wote aliowasamehe wamekamatwa tena waliporudia kosa. Kuna wengine watatoka death row wataenda wataua tena na hawatakamatwa. Haya yanatokea nje ya nchi, hapa ni kwa vile press yetu na record keeping institutions ni mbovu, hakuna anaefuatilia vitu kama hivi.
Kwa wenzetu huwezi kufungulia jela nzima eti msamaha wa Rais. The Magufulis and the Samia Suluhus of the third world hawana exposure masikini ya Mungu, ya jinsi ya ku run a rule-based society.
Mama Samia atalaumiwa bure kwani yeye alichokifanya ni "Copy & paste"