Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

Wananchi wenye hasira sometimes huwa wanafanya vitu amazing!
 
Huko jela wanatakiwa watoke na life skills za kuja ku survive mtaani! Ndio maana wanafunzw kufanya productive activities
Jela za kiafrika hazifundishi watu kuja kuwa productive katika jamii zao.

Jela kuna kukandamizana, milo mibovu malazi mabaya sana, kuoneana, kuingiliana kinyume na maumbile n.k

Jela bongo ni jeraha lisilopona
 
Kwetu kilikuwa na jizi kila likiiba linakamatwa linatoka linaiba tena linafungwa linatoka linaiba tena sasa mara ya mwisho ilipobaki mwezi mmoja litoke bana ake akawa anajitapa kuwa jembe langu karibu linatoka
Wananch wakaona isiwe tabu kumuua wakaogopa mkono wa dola walichofanya wakamtafutia dada mmoja mkali kwa kuwa katoka jela ana ugwadu asingeweza kuchomoa mara baada kutoka dada akajirengesha jamaa akapita nae baada ya miezi sita jamaa akawa anapandisha mabega kikohozi hakiishi kwenda kupima vimo kwa kuwa back in days hakukua na art jamaa hakumaliza miaka miwili
Akatembea

Kuna mwingne nae alikuwa mwizi polisi wanamkamata wiki wa namuachia wanamkamata wa namuachia wanachi wakamkamata wakachemsha ulanzi wakamnyeesha ukiwa wa moto wakamuachia jamaa hakumaliza wiki akatembea wa mwisho nae wa kuwa alikuwa anafuga nywele wakampigilia msumalia kichwani nchi 6 hakutembea hata mita 500 aktembea polis kuja hawaoni jeraha mchubuko wala mkwaluzo na jamaa alifuga nywele wakawa hawajui nini kimemuua wananch wakiulizwa
Wanasema tumemuombea tu toka siku hyo kwetu hakuna kitu kinaitwa mwizi kwa zaidi ya miaka 15
 
Wanafiki, wakiwa kwenye media wanasema hivyo lakini wakifika kwenye matukio wakaona wezi wanapumua wanaelekeza lawama kwa wananchi kwanini wanafanya kazi nusunusu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hasara sana kwa taifa na familia kupoteza members wao.
 
Tatizo wezi hawakomi wala hawajifunzi leo anamuona mwenzake amechomwa moto baadae anaenda kuiba
 
Pongezi ziwaendelee wananchi wenye hasira Kali.

Wezi wanarudisha sana nyuma maendeleo
hawarudishi nyuma bali wanakuza uchumi maana wakiiba wanakuja kuwauzia nyinyi hao hao 🤸‍♂️
 
Kuna wakati hasira kali zinasaidia sana kuwapunguza hawa viumbe.
 
[emoji16][emoji16][emoji16].
Unawapa KAZI ya kuwapeleka hospital.
Yaani Bora wakute maiti.
Wakikuta majeruhi alafu mkawapa KAZI ya kuwapeleka hospital wakafa huko watakuja kuwafuata Nani aliwapiga wezi.
Wanafiki, wakiwa kwenye media wanasema hivyo lakini wakifika kwenye matukio wakaona wezi wanapumua wanaelekeza lawama kwa wananchi kwanini wanafanya kazi nusunusu
 
Tea
 
Maisha ya jela hayapo kama tunavyoaminishwa mtaani.
japo NI kweli kwenye chakula na maradhi NI kubovu
 
Mimi nilikaa mahabusu.
HAO watoto wakianza kusimulia matukio Yao.
Burudani sana.mwizi haogopi kufa.
na wanakwambia ukikamatwa ukapigwa ukapona HAPO UMEPANDA VYEO VYA WIZI.
ukikaa mahabusu hata nje unapasahau.
Madogo Wana matukio mazito mazito.
Kuna mmoja nilimkuta ameua MTU,
Mwingine amemchkma MTU kisu cha tumbo
Tatizo wezi hawakomi wala hawajifunzi leo anamuona mwenzake amechomwa moto baadae anaenda kuiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…