Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa


Mama Samia atalaumiwa bure kwani yeye alichokifanya ni "Copy & paste"
 
Kwan si kuna vigezo vya msamaha kwa wafungwa? Sio kuwa yeyote tu anaweza tolewa
Wewe kubwa jinga...
Raisi ana power ya kumtoa mfungwa yeyote aliyefungwa kwa kosa lolote.
 
Kwan si kuna vigezo vya msamaha kwa wafungwa? Sio kuwa yeyote tu anaweza tolewa
Naona yeye hakufuata vigezo ,zaidi ni kupunguza mrundikano magerezani. Kwenye hotuba alishasema wataangalia namna ya kubadili adhabu ili wafungwa watumikie vifungo vyao wakiwa nje.Ndio maana katumia nafasi hiyo lengo lake kupunguza mrundikano tu.
 
Kwan si kuna vigezo vya msamaha kwa wafungwa? Sio kuwa yeyote tu anaweza tolewa
YEYOTE anaweza kutolewa!

Wanatoka serial killers... wazee waliotolewa na Magufuli.

Wanatoka ma child sodomizers.... Babu Sea na Papii Kocha... na hao ni wachache tu tunaowajua...

Kama unamtoa serial killer nani sasa hatoki, genocide mastermind and war criminal ???

Ukishamsamehe armed robber and child rapist and serial killer maana yake HAKUNA VIGEZO!
 
Hahahaha mkuu ilikukuta au ulishuhudia?😂
Alisikika babu akimwambia konda wa daladala aliyetoa kichwa nje kupitia dirishani huku makalio yakiwa ndani, nahisi babu alisikia harufu akiwa ameketi kiti cha mlangoni
 
Hii ni kazi ya parole officer, tumuulize Lyatonga anatekelezaje majukumu yake.
 
Kuna dogo aliletwa mule mahabusu kapigwa mapanga.wenzio Wana mwambia hapo UMEPANDA VYEO.
alafu hakuna mwizi bonge wote wembamba.
Wakifungua turbo wakikata kona hauwaoni.
Aiseee kumbe ndio wanajisifu hivyo ngoja na sisi raia tukaze kamba tukikamata mwizi atumpigi wala nini tunamvisha tairi zima zima afurahie show
 
Ujambazi, wizi haulipi.

wahalifu ambao hawapaswi kabisa kuingizwa kwenye msamaha wa Rais ni:

Majambazi wazoefu, wezi wazoefu, wabakaji, wauza madawa ya kulevya,

ukiona wananchi wanachukua sheria mikononi ujue wamechoshwa!!
 
Sikio la kufa haliskii dawa.
 
Wewe kubwa jinga...
Raisi ana power ya kumtoa mfungwa yeyote aliyefungwa kwa kosa lolote.
We jinga kwel kwan tumezungumzia kutoa ama tunazungumzia msamahaa alioutoa juzi?
 
Pongezi ziwaendelee wananchi wenye hasira Kali.

Wezi wanarudisha sana nyuma maendeleo
Yaaqniimpwaaasioohawa

Wametokaa kumfanyaaambaya jirani Yangu nakaduka kakee ka mkopoojamani sioo watuu kabisa yaan msijalala kabisa nikisikia hata panya nawasha na kuzima taa wajue nikopoa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…