Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana
Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji
Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246