Pre GE2025 Kibaigwa: Wananchi Wazuia Msafara wa Tundu Lissu, walazimisha awahutubie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na huko CCM kwenyewe ndiko hovyo kabisa, imebaki kutapanya tu mali za nchi hii na kuzigawa kama hatuna akili vichwani mwetu!
Heri ya kuchangishana kuliko kulihujumu taifa letu kiasi hiki.
Endelea kuchanga,utakombolewa na Lissu.
 
Endelea kuchanga,utakombolewa na Lissu.
Siyo lazima awe Lissu. Lakini kinachojulikana wazi kabisa ni kwamba CCM sasa imefikia ukomo wake. Kuendelea kuwepo madarakani katika hali hii iliyo nayo sasa ni kuliumiza taifa hili.
Huko huko CCM kwenyewe kunaweza kuwepo na watu wanaojali taifa hili; kwa hiyo Lissu ni sehemu moja tu ya matumaini yaliyopo.
 
Ccm haijafika ukomo, ukitaka kujua,subiri serikali za mitaa utajificha.
 
Siyo lazima awe Lissu. Lakini kinachojulikana wazi kabisa ni kwamba CCM sasa imefikia ukomo wake. Kuendelea kuwepo madarakani katika hali hii iliyo nayo sasa ni kuliumiza taifa hili.
Huko huko CCM kwenyewe kunaweza kuwepo na watu wanaojali taifa hili; kwa hiyo Lissu ni sehemu moja tu ya matumaini yaliyopo.
Correct
 
Back
Top Bottom