Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaja jina la Mbowe au mwanachama lini? Alichosema ni kwamba kunauwezekano zipo pesa zinapenyezwa kwa wangombea kutoka ccm kutaka kuvuruga chama, na kukitaka chama kuwa makini hata hivyo kupenyeza pesa kwenye chama hasa ndani ya ccm wakati wa kugombea ni hulka ya ccm nani hajuiLissu kasema kamanda kapokea mzigo toka kwa mama abdul, hujasikia?! Lissu naye chawa wa ccm?
Kasome katiba ya chadema vizuri alafu njoo ,pambaneni na ccm yenu ambayo imeisha jifia ya chadema hayawahusuEh kumbe wanachama watakapotaka, mm nikajua kuna katiba yenu inayoonyesha ukomo wa uongozi wa Chadema 😂
Lissu mmoja sawa na ccm nzima ,Popularity rating inaongezeka kwa speed ya supersonic......... Kila kona ya nchi ni maada ni kuhusu uhodari wa TL kuchambua hoja na kuzielezea kwa ufasaha.
Sasa kwann mnapokea hizo pesaAlitaja jina la Mbowe au mwanachama lini? Alichosema ni kwamba kunauwezekano zipo pesa zinapenyezwa kwa wangombea kutoka ccm kutaka kuvuruga chama, na kukitaka chama kuwa makini hata hivyo kupenyeza pesa kwenye chama hasa ndani ya ccm wakati wa kugombea ni hulka ya ccm nani hajui
Na Yeye ale mahindi mchana kweupe kama mtu yuleWalipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana
Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246
Lissu hakuna kitakachomzuiaLissu mmoja sawa na ccm nzima ,
Sasa akiongezeka Mbowe, Mnyika , Msigwa, Heche, Lema, na wengine ikafika first 20 , kabla second 20 iwe first 40 ccm si mtaanza tembea mnaongea peke yenu barabarani, Mwafaaaa CCM
2020 ilikuwa fedheha mpaka shetani mwanyewe akajiengua.Kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa.
CCM wanatamani jamaa atoke wameshindwaMbowe ataacha uwenyekiti siku wanachama watakapo taka na sivinginevyo au sio kwa shinikizo lenu machawa wa ccm
wamechangia kiasi gani hao kwenye mchango ya gari, ama aliona aibu kuomba hapo 🐒Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana
Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246
Kuna nani tena huko CCM wa "...kupambana kwa hoja..." iwapo 'Master mind' wenu mkuu Kinana hajui aanzie wapi?
Nani mwingine huko CCM mwenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kueleweka kwa wananchi?
Wasira naye bado unamtegemea ndani ya chama?Wassira,Bashiru,Makonda,Kunambi na wengi kibao
Huyo mjinga nishamu ignore kitambo sanaKasome katiba ya chadema vizuri alafu njoo ,pambaneni na ccm yenu ambayo imeisha jifia ya chadema hayawahusu
Ndio hawapo sasa,wapo bize kuchangishana pesa za magariWasira naye bado unamtegemea ndani ya chama?
Bashiru, labda kwanza mmwondolee usaliti mlio mpachika; na hata huyo atakuwa na kazi nzito sana ya kukiondoa chama ndani ya shimo refu mlilokichimbia.
Ngoja nikwambie jambo jipya kidogo. Mategemeo ya CCM sasa hivi ni udhaifu tu wa hivi vyama vya upinzani tulivyo navyo. Sasa hivi kukitokea chama ambacho wananchi wanaona kina dalili nzuri za kuongoza nchi hii CCM hana chake tena.
Nimecheka kijinga mkuu,hawa sio wa kuignore unawaacha tuwafundishe na kuwapiga spana juuHuyo mjinga nishamu ignore kitambo sana
Alilenga kunisababishia matatizo hapa jf, na mimi kama unavyofahamu sipendi matatizoNimecheka kijinga mkuu,hawa sio wa kuignore unawaacha tuwafundishe na kuwapiga spana juu