Ccm ndio wanalazimisha kuweka maslahi yao mbele kwenye katiba bila kujua hiki sio kizazi Cha ccm. Hapo mlimani ndio wamejua kuwa katiba mpya haikwepeki.Lkn tusitumie mihemuko ya vyama vyetu,tukubaliane kama nchi.
Popularity rating inaongezeka kwa speed ya supersonic......... Kila kona ya nchi ni maada ni kuhusu uhodari wa TL kuchambua hoja na kuzielezea kwa ufasaha.Walipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana
Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246
Tunapambana kwa hoja na tutawagalagazaCcm ndio wanalazimisha kuweka maslahi yao mbele kwenye katiba bila kujua hiki sio kizazi Cha ccm. Hapo mlimani ndio wamejua kuwa katiba mpya haikwepeki.
Kashastuka,anaenda kuusaka urais nje ya mfumo dhaifu wa chademaSi umesema anaaga, huko mnakotaka aende hakuna Urais?
Ujumbe makini sana huu unaofaa kuenezwa nchi nzima.Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba
Hivi hamna matusi mapya, mbona mnatukana matusi yaleyale ya kizamani?Nasisitiza. Ni MAIGIZO.
Halafu nyumbu ansema "Wananchi wazuia msafara"
....ama walijitokeza kuona gari lake lililopigwa na Risasi?
Kuna nani tena huko CCM wa "...kupambana kwa hoja..." iwapo 'Master mind' wenu mkuu Kinana hajui aanzie wapi?Tunapambana kwa hoja na tutawagalagaza
Uongo hautakusaidia chochoteLissu kasema kamanda kapokea mzigo toka kwa mama abdul, hujasikia?! Lissu naye chawa wa ccm?
Kwa Sasa uwezo huo kupambana kwa hoja hamna.Tunapambana kwa hoja na tutawagalagaza
Lucas atasema hawa ni TLO, chadema hapo ni 3 tuWalipopata Taarifa kwamba Msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema utapita kwenye kijiji chao, Wananchi hao waliamua kumiminika Barabarani na kuzuia Msafara huo, kwa lengo la kupata neno la Matumaini kutoka kwake, Juhudi za Polisi kuondoa wananchi walioziba Barabara zimeshindikana
Akihutubia Umati huo kwa njia ya dharula, Tundu Lissu amewaambia Wananchi hao kuhakikisha kwamba wanajichagulia viongozi wao wao wenyewe, kuanzia serikali za mitaa, madiwani, Wabunge na Rais, amewaambia kwamba katika viongozi waliopo hivi sasa, hakuna hata mmoja waliomchagua, wote wamepachikiwa, Mwenyekiti wa kijiji Wamepachikiwa, Mwenyekiti wa serikali za mtaa wamepachikiwa, Diwani Wamepachikiwa, Mbunge wamepachikiwa, Rais Wamepachikiwa, ameagiza kuanzia uchaguzi ujao wananchi wakatae viongozi wa kupachikiwa kwa udi na uvumba
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2996242View attachment 2996243View attachment 2996244View attachment 2996245View attachment 2996246
Wassira,Bashiru,Makonda,Kunambi na wengi kibaoKuna nani tena huko CCM wa "...kupambana kwa hoja..." iwapo 'Master mind' wenu mkuu Kinana hajui aanzie wapi?
Nani mwingine huko CCM mwenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kueleweka kwa wananchi?
Wekeni mdahaloKwa Sasa uwezo huo kupambana kwa hoja hamna.
Kwan lissu ndo mpokea kodi zao,akili za maiti iziHaya baada ya kuhutubia wamepata maji!
Mngekuwa mnaweza midahalo msingegeuza vyombo vya Dola kuwa mbeleko yenu.Wekeni mdahalo
Aliandaliwa Halima James MdeeHii si habari njema kwa mwenyekiti mbowe.
Tunafahamu Lissu hakuwa mmoja wa walioandaliwa kurthi kiti mbowe atakapostaafu uenyekiti.
kumamsenge wewe lissu ndo anakusanya kodi ya hao aliowahutubia? Lissu ndiye ile mijiz inayotajwa na CAG kila mwaka huko ccm? zaid ya miaka 60 ya uhuru ccm mko madarakan mmeshndwa kuwapa maji watz mpaka leo hii mnapga kampen kwa kuwalaghai mtapeleka maji kumamamae wewe na maccm yote.Haya baada ya kuhutubia wamepata maji!
Dalili ya kwanza ya mtu shoga ni matusi!kumamsenge wewe lissu ndo anakusanya kodi ya hao aliowahutubia? Lissu ndiye ile mijiz inayotajwa na CAG kila mwaka huko ccm? zaid ya miaka 60 ya uhuru ccm mko madarakan mmeshndwa kuwapa maji watz mpaka leo hii mnapga kampen kwa kuwalaghai mtapeleka maji kumamamae wewe na maccm yote.
Ndo tuwape nchi nyinyi? Labda mtuue kwanzakumamsenge wewe lissu ndo anakusanya kodi ya hao aliowahutubia? Lissu ndiye ile mijiz inayotajwa na CAG kila mwaka huko ccm? zaid ya miaka 60 ya uhuru ccm mko madarakan mmeshndwa kuwapa maji watz mpaka leo hii mnapga kampen kwa kuwalaghai mtapeleka maji kumamamae wewe na maccm yote.
MmhHii si habari njema kwa mwenyekiti mbowe.
Tunafahamu Lissu hakuwa mmoja wa walioandaliwa kurthi kiti mbowe atakapostaafu uenyekiti.