Pre GE2025 Kibaigwa: Wananchi Wazuia Msafara wa Tundu Lissu, walazimisha awahutubie

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu kasema kamanda kapokea mzigo toka kwa mama abdul, hujasikia?! Lissu naye chawa wa ccm?
Alitaja jina la Mbowe au mwanachama lini? Alichosema ni kwamba kunauwezekano zipo pesa zinapenyezwa kwa wangombea kutoka ccm kutaka kuvuruga chama, na kukitaka chama kuwa makini hata hivyo kupenyeza pesa kwenye chama hasa ndani ya ccm wakati wa kugombea ni hulka ya ccm nani hajui
 
Eh kumbe wanachama watakapotaka, mm nikajua kuna katiba yenu inayoonyesha ukomo wa uongozi wa Chadema πŸ˜‚
Kasome katiba ya chadema vizuri alafu njoo ,pambaneni na ccm yenu ambayo imeisha jifia ya chadema hayawahusu
 
Popularity rating inaongezeka kwa speed ya supersonic......... Kila kona ya nchi ni maada ni kuhusu uhodari wa TL kuchambua hoja na kuzielezea kwa ufasaha.
Lissu mmoja sawa na ccm nzima ,
Sasa akiongezeka Mbowe, Mnyika , Msigwa, Heche, Lema, na wengine ikafika first 20 , kabla second 20 iwe first 40 ccm si mtaanza tembea mnaongea peke yenu barabarani, Mwafaaaa CCM
 
Sasa kwann mnapokea hizo pesa
 
Na Yeye ale mahindi mchana kweupe kama mtu yule
 
Lissu mmoja sawa na ccm nzima ,
Sasa akiongezeka Mbowe, Mnyika , Msigwa, Heche, Lema, na wengine ikafika first 20 , kabla second 20 iwe first 40 ccm si mtaanza tembea mnaongea peke yenu barabarani, Mwafaaaa CCM
Lissu hakuna kitakachomzuia
 
wamechangia kiasi gani hao kwenye mchango ya gari, ama aliona aibu kuomba hapo πŸ’

halafu hapo mkutanoni,
waliohudhuria mkutaono ni wanachama wangapi wa Chadema ? maana naskia takwimu za idadi ya wanachama wa Chadema mnazipataga kwenye picha za mikutano na wahudhuriaji wa mikutano kama hivyo yaani πŸ’
 
Kuna nani tena huko CCM wa "...kupambana kwa hoja..." iwapo 'Master mind' wenu mkuu Kinana hajui aanzie wapi?

Nani mwingine huko CCM mwenye uwezo wa kujenga hoja zinazoweza kueleweka kwa wananchi?
 
Wassira,Bashiru,Makonda,Kunambi na wengi kibao
Wasira naye bado unamtegemea ndani ya chama?
Bashiru, labda kwanza mmwondolee usaliti mlio mpachika; na hata huyo atakuwa na kazi nzito sana ya kukiondoa chama ndani ya shimo refu mlilokichimbia.

Ngoja nikwambie jambo jipya kidogo. Mategemeo ya CCM sasa hivi ni udhaifu tu wa hivi vyama vya upinzani tulivyo navyo. Sasa hivi kukitokea chama ambacho wananchi wanaona kina dalili nzuri za kuongoza nchi hii CCM hana chake tena.
 
Ndio hawapo sasa,wapo bize kuchangishana pesa za magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…