Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

We jifariji tuu.magufuli hawezi pumzika ata siku Moja.kwani mama ya zito alikua rais?tumseme wa nini sasa??
 
We jifariji tuu.magufuli hawezi pumzika ata siku Moja.kwani mama ya zito alikua rais?tumseme wa nini sasa??
Kama mama yake alikuwa mchawi na alikuwa anadhuru watu kwa uchawi wake na Zitto kutwa anajisifu kwa uchawi(inawezekana karithishwa) unataka tusimzungumzia huyo Mama yake?

Unataka tuwe na viongozi waliyorithishwa uchawi usiku wanapaa na ungo?
 
Tusifikiri kumsema vibaya Magufuli kutasaidia kitu, hayupo na hawezi kujibu kitu, kama una tatizo naye maliza utakuja kukutana naye kwa Mungu.

Mtu akishatangulia kitabu chake kinafungwa, tunamuachia Mungu kuja kutoa hukumu.
Anasema pharaoh hadi leo sembuse Magufuli, cha msingi tutende yaliomema ili kuepuka kusema hapo mbele tukiwa wafu, kama mnaogopa kusemwa mkiwa wagu tendeni mema kabla ya kufa.
 
Kasoro kwenye utawala wa Samia ziweke ww, yeye kaamua kuweka za Magufuli, ni jambo ka kugawana majukumu tu.
Kweli Bavicha akili kisoda hahahahhah. Hivi kupambana na Hayati nako ni kugawana majukum?Ni wachawi na washirikina ndio huendelea kupambana na wafu.Wanasema ukifa basi kitabu chako kinafungwa, Kuendelea kupambana na Hayati ni upumbavu KIWANGO cha SGR. Na sio zito tu,hata wewe umejipa kibarua cha kupambana na Hayati, kwamba ya utawala huu we hayakuhusu sana.Kila jambo na wakati wake lkn ndugu zetu mnaopambana na Magufuli hii kanuni hamna hahahahhah. Zito,Wewe na genge la aina hiyo hamuoni ttz lolote utawala huu zaidi ya kupambana na Hayati. Kwamba huku kupambana na Hayati ndio kutafuta kura kwa wananchi na kuikosoa CCM na mwisho 2025 kutawaingiza ikulu?Chama cha SIASA na upinzani wowote dira yao ni kushika Dora, Na utaona shughuli zao nyingi huwa zinahakisi kushika Dora. Sasa wewe ndugu ukikesha kumponda Magufuli ndio mtashika Dora?Tukisema hakuna upinzani zaidi ya genge la wahuni tunakosea?
 
"Kibajaji" aka Living stone lusinde hilo jambo alipaswa kulizungumzia kwenye vikao vyao vya chama na sio bungeni labda kama bunge nalo ni kikao cha chama...
Kwani Zito alikua anamponda Magufuli kama Kiongoz wa chama?
 
Anachokifanya Kibajaji ni kujipendekeza kwa mama (Samia), Zitto hakuwa zwazwa hata kipindi cha Magufuli, Zitto kipindi cha Magufuli aliishupalia sana 1.5 T, ambayo kila mmoja alijua kuwa cha kutojulikana imetumika vipi ni Magufuli.

Sasa hapa uoga wa Zitto upo wapi, yeye ndio alikuwa muoga, Kibajaji ndio muoga tangu kipindi kile hadi Sasa na ni mtu wa kujipendekeza, watu wa namna hii ni wabaya sana kwa jamii.
 
JPM alikuwa rais mkatili sana, unachopanda ndio unavuna. Ila Zitto hakuwa sahihi sana, watanzania tulishajua. Hakuna haja ya kusema
Aliyemweka Mbowe ndani mwaka jana hakua katiri?Aliyemuua Mwangosi hakua katiri?Aliyemwagia tindikari kubenea, mpiga Mwangosi, kibanda nk hakua katiri?Aliyemtoa uspika Ndugai sio roho mbaya na kuogopa kukosolewa?Au we katiri lzm mtu gani nje ya hayo matendo?
 
Sasa si ndo umeshawasema tayari?, Tatizo liko wapi? Au unataka wasemwe hao na sio Magufuli?
 
Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona hawatugusi? Wapendekeze watufukuze waone moto wake’’ na kumaliza maongezi kwa kusema ‘’tuna vita kati ya asilia na wahamiaji na huu ndio mwanzo na ajenda yenyewe’’.

Kwa sasa majibu aliyokuwa anayasubiri yamepatikana baada ya miezi ya miezi saba ambapo CCM imeamua kumfukuza uanachama wa CCM. Aliokuwa anadai ni wahamiaji wameamua kuchukua uanachama wake!

Ikumbukwe kuwa baada ya maongezi ya Membe kusikika, Mbunge wa Mtera (CCM) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Livingstone Lusinde alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kutoa maoni yake lakini pia aliomba CCM iwaite na kuwahoji wale wote waliosikika kwenye audio na alimaliza kwa kusema anamjua sana Membe na anamuweka kiporo mpaka atakaporudi kutoka China.

Baadaye Membe alijitokeza kupitia mtandao wa twitter na kumjibu Lusinde kwa maneno haya;

Leo hii Kibajaji ataongea nini?
 
Kushika dola tumewaachia nyie wenye backup ya vyombo vya dola. Wakina Kubenea, Mwangosi nk walikutana na matendo ya kinyama na yote yalisemwa hadharani, je watu walikuwa wanathubutu hata kumuombea Lisu hadharani? Sio jukumu letu kuwakosoa viongozi kwa utashi wako, kila mtu anamsema anayetaka na kwa kiwango atakacho. Ukitaka hizo taarifa za kina Mwangosi fungua uzi wa kumsema kiongozi aliyekuwa madarakani, sisi wengine tulimsema Magufuli akiwa hai, na hata sasa huko jehenamu. Kwangu mimi magu alikuwa kiongozi muovu kuliko hao wote, hutaki hiyo ni juu yako fullstop.
 
Kasoro kwenye utawala wa Samia ziweke ww, yeye kaamua kuweka za Magufuli, ni jambo ka kugawana majukumu tu.
Hakujawahi kupatapo kuwa na hayo majukumu sijui wewe umeyatoa dunia gani aina hiyo ya majukumu? Kilichopo hapo ni kuamua nani umkosoe na yupi umfumbie macho kasoro zake usimkosoe si kusema et kugawana majukumu ya kukosoa hakuna kitu kama hicho ni kituko.

Zitto kaamua kufumbia macho kasoro za washirika wake maana wamemzibulia mirija ila anafanya mashambulizi kwa aliyekuwa mziba mirija yake, basi ni hivyo tu kama asingekuwa mshirikina huyu Zitto pengine ningeamini wasemavyo watu kuwa Zitto ni mdini ila Zitto hana hiyo dini kutwa kujisifu ushirikina.
 
Umesema vizuri kwamba ni kwako wewe kama ambavyo leo hii Ulimboka akisema Kikwete ni kiongozi muovu kuliko wote, ni yeye na ana sababu ya kusema hivyo.
 
Aliyemweka Mbowe ndani mwaka jana sio mbambikiaji kesi?Anayejaza waislam huko serikalini now sio mbaguzi?Aliyemtoa Ndugai bungeni kisa kampinga sio roho mbaya?Au we matendo mabaya unayatafsiri vipi?
Hivi upo nchini hapa au tanganyika ambako vyombo vya habari havifiki?
Mpango wa kumweka ndani Mbowe ilianza kabla hata Magufuli hajaanza kuumwa, kina Kingai walithibitisha hilo mahakamani.
Na usiwe mjinga kama Ndigai kuchezea makali wakati mwenye panga yupo.
Halafu Mkristo wako mwenye roho mbaya, mtekaji, mtesaji, mwizi na mbaguzi kikabila na mwenye tabia za kirundi, wewe amekupendelea nini haswa?
 
Aliyemweka Mbowe ndani mwaka jana sio mbambikiaji kesi?Anayejaza waislam huko serikalini now sio mbaguzi?Aliyemtoa Ndugai bungeni kisa kampinga sio roho mbaya?Au we matendo mabaya unayatafsiri vipi?
Mangufai alikuwa hafai. Bora ameenda zake. Mama yupo safi sana hata Mbowe anajua.
 
Hatumuachi, Jiwe alikuwa fala na Ufala wake unaendelea, agongwe na mchwa mpaka aseme poooo. Upuuzi wake aendeze huko aliko aone! Mpuuzi kabisa yule. Hata kwa shetani hakubariki.
 
Wangapi walimkosoa hawakushughulikiwa na mpaka leo wapo wanakosoa. Hivi huon aibu kusemea uongo maiti isiyoweza kujibu
 
Lissu alimsema Magufuli akiwa hai akaishia kupigwa risasi, mbona hakujitokeza kukemea Lisu kushambuliwa kwa kumkosoa Magufuli akiwa hai? Kama hutaki kukosolewa ukiwa madarakani tena ukiwa hai, jiandae kupokea ukweli nje ya madaraka au ukiwa kuzimu.
Alijitokeza. Lusinde aliongea bungeni. Na ni wangapi walimkosoa na bado wako hadi leo. Mnamkuzia mambo marehem
 
Yeye kibajaji kama inamuuma, akazikwe pembeni mwa Jiwe. Kibajaji anatoka kwenye jamii masikini sana ya kigogo, kabila linaloongoza kwa kuomba omba. Badala atetee ndugu zake, yeye kila siku Magufuli. Wafu wakawazike wafu wenzao. Akazikwe nae. Idiot!
 
Zitto ni mpumbavu sana. Kwa hiyo yeye hakumpenda mama yake! Jinga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…