johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hajulikani au ndio wewe mwanaparokia?!Msemaji wa Chadema ni nani?
Ndio huu atakaoupata hapa bwashee.Sasa huko twitter aliporipoti atapata msaada gani!
Hahahaaaa.......CCM bado haijatangaza wagombea bwashee huyo ni wa hapo Ufipa angalia vizuri orodha namba 2!Ohooo! Magufuli mzee wa faulo kishaanza tena.
wanatafuta pa kumchomeka makonda na katambi,Hahahaaaa.......CCM bado haijatangaza wagombea bwashee huyo ni wa hapo Ufipa angalia vizuri orodha namba 2!
Wanaccm wakikukataa huchomekwi popote....... Ndio unaona wengine huenda upinzani kusafisha nyota!wanatafuta pa kumchomeka makonda na katambi,
Tulia utaelewaSasa huko twitter aliporipoti atapata msaada gani!
Chadema wamefanya kura za maoni kisha kamati kuu imefanya uamuzi wa nani agombee.Apo lengo linakua nini
Swali la kijinga sana hili.Sasa huko twitter aliporipoti atapata msaada gani!
Kwani majina ya wagombea ubunge wa CCM yameshatoka?Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea ubunge kwa mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.
Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.
Jacob ameripoti haya katika akaunti yake ya twitter.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo kauli aliitoa Jiwe na kawachomeka zaidi ya nusu aliowafukuza, pamoja na mkurugenzi wa wala rushwa,Wanaccm wakikukataa huchomekwi popote....... Ndio unaona wengine huenda upinzani kusafisha nyota!
Bado!Kwani majina ya wagombea ubunge wa CCM yameshatoka?