Uchaguzi 2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea ubunge kwa mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.

Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.

Jacob ameripoti haya katika akaunti yake ya twitter.

Maendeleo hayana vyama!
Mkurugenzi ana hamu na kipigo
 
Ndi mchezo wait was kijinga kwrli hata chama cha Act wamekihujumu hivyohivyo ,huyo mkurugenzi msimwache kama amezoea hata kurogwa arogwe ili ashike adabu.
 
Apo lengo linakua nini
CHADEMA iondolewe kwenye list ya vyama vinavyogombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa kupeleka wagombea wawili.
Kwa sababu yupo ambaye ni halali atakwenda na kukuta yupo aliyekwisha chukua.
 
Ndi mchezo wait was kijinga kwrli hata chama cha Act wamekihujumu hivyohivyo ,huyo mkurugenzi msimwache kama amezoea hata kurogwa arogwe ili ashike adabu.
Elewaneni kwenye chama chenu, kwanza huyo ni mwanachama wenu miliyemuengua kwenye kura za maoni, na yeye akaona isiwe tabu ngaoja awahi kuchukua fomu sasa hapo CCM inahusika wapi?
 
Nilipoona Kibamba haina mgombea kwenye orodha ya kwanza nilitegemea jambo kama hili kutokea, CHADEMA msidhani CCM wanalala kwa ajili yenu, wako tayari kufanya lolote iwe mvua liwe jua.
 
Kwani majina yabuteuzi si yako TUME y auchaguzi?
Huyo alie chukua imekuwaje apewe?
 
Nilipoona Kibamba haina mgombea kwenye orodha ya kwanza nilitegemea jambo kama hili kutokea, CHADEMA msidhani CCM wanalala kwa ajili yenu, wako tayari kufanya lolote iwe mvua liwe jua.
Nilisema hapa Chadema haiwezi kusimamisha wagombea katika majimbo yote!
 
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea ubunge kwa mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.

Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.

Jacob ameripoti haya katika akaunti yake ya twitter.

Maendeleo hayana vyama!

CCM haiuziki kabisa ndiyo maana watu wenye nia ya kugombe nafasi za uongozi wanaona bora tu watumie chama kingine maana japo watu wanauwezo wa kuongoza, na wanakubalika,kikwazokikubwa kimekuwa chama kijani.
 
Elewaneni kwenye chama chenu, kwanza huyo ni mwanachama wenu miliyemuengua kwenye kura za maoni, na yeye akaona isiwe tabu ngaoja awahi kuchukua fomu sasa hapo CCM inahusika wapi?

Sio kweli acha upotoshaji wa kijinga, anayeteuliwa na chama anapewa barua rasmi ya chama. Kama kila anayeshiriki kwenye kura za maoni anaweza kwenda akapewa fomu, huo utakuwa ni utendaji wa kijima sana wa tume ya uchaguzi. Na isitoshe anayekwenda anajaza jina na taarifa zake, kama sio mtu sahihi inabidi akamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria. Kinyume na hapo tume ndio inayohusika na huo upuuzi.

Na hapo ndio tunaposema tume hii ya uchaguzi ni sehemu ya hujuma kwenye chaguzi zetu. Na kutaka kudhibitisha kuwa tume ndio inayoratibu huo uhuni, ndio maana haitaki watu waende na msafara ili waweze kuendesha hujuma vizuri.
 
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea ubunge kwa mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.

Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.

Jacob ameripoti haya katika akaunti yake ya twitter.

Maendeleo hayana vyama!
Inawezekana mara ya kwanza hamkuchukua hatua zozote kisheria ndio maana inajitokeza tena mara ya pili. Msiishie kwenye media tu, fuatilieni kisheria kama upo ushahidi wa kutosha.
Kwa uchaguzi huu ulivyo mgumu kuna kila dalili za kutafutia wengine wapite bila kupingwa.
 
CHADEMA iondolewe kwenye list ya vyama vinavyogombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa kupeleka wagombea wawili.
Kwa sababu yupo ambaye ni halali atakwenda na kukuta yupo aliyekwisha chukua.
Huyo aliyechukua fomu ni Nani?Hawezi kufuatiliwa na vyombo vya sheria kwa kughushi?Nani anayeonekana kufaidika na aina hii ya hujuma?
Hofu yote hii maana yake nini?
 
Back
Top Bottom