Suala ni kuwahi?Utaratibu unasema hivyo?Acheni kuhalalisha haramu na uzembe wa DED.Alishindwa nini kujiridhisha?Fomu zinatolewa kiholela holela hivyo?Elewaneni kwenye chama chenu, kwanza huyo ni mwanachama wenu miliyemuengua kwenye kura za maoni, na yeye akaona isiwe tabu ngaoja awahi kuchukua fomu sasa hapo CCM inahusika wapi?