King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kelele zako zenye nia njema zimesikika. Wameshamjengea nyuma, tena nzuri tu.
Mama anasoma mitandao na huenda ni member humu.
GoodKelele zako zenye nia njema zimesikika. Wameshamjengea nyuma, tena nzuri tu.
Mama anasoma mitandao na huenda ni member humu.
Mkuu,Asante sana Mkuu ila hawa siwajui
sijui nikuweke katika kundi gani,huna hata chembe ya huruma,mtu akifa apewe heshima yake sio yeye tu hata mtu usiyemjua ukiliona kaburi lake mpe heshima yakeAhadi yangu ya kunya kwenye kaburi la huyo fisadi na muuaji iko pale pale!
Karma is a bitch,inakukamua hata ukiwa kaburini. Acha karma ifanye yakesijui nikuweke katika kundi gani,huna hata chembe ya huruma,mtu akifa apewe heshima yake sio yeye tu hata mtu usiyemjua ukiliona kaburi lake mpe heshima yake
Samaki wapate tabu!!!!Huyoy alifaa kutupa baharini kama osama
Kwanini kapiga magoti, au ni mlemavu?View attachment 1973228
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kaburi la marehemu, wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
Lala salama shujaa wa Tanzania.
Lengo la comment yako ni kutuonesha kwamba mwendazake kajengewa kibanda cha kisasa kutoka kile cha awali cha mabati,but all in all mwendazake kaenda zake hana jipya tena hapa chini ya jua Apumzike kuzimuView attachment 1973228
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kaburi la marehemu, wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
Lala salama shujaa wa Tanzania.
Get your life, don't jump to things which does not concern you.Kwanini kapiga magoti, au ni mlemavu?
''Kabla hujafa hujaumbika.'' Wewe utaishi milele?Lengo la comment yako ni kutuonesha kwamba mwendazake kajengewa kibanda cha kisasa kutoka kile cha awali cha mabati,but all in all mwendazake kaenda zake hana jipya tena hapa chini ya jua Apumzike kuzimu
Ningekuwa karibu mm ....Wangeacha wazi kuna haters wanaweza ingia humo wakakojolea kaburi.
Ungeandika tu kwa Kiswahili kuliko kuharibu lugha ya watu usiyo na uwezo nayo.Get your life, don't jump to things which does not concern you.
Kwanini wasingeanza mtupa baba yakoHuyoy alifaa kutupa baharini kama osama
Ungeandika tu kwa Kiswahili kuliko kuharibu lugha ya watu usiyo na uwezo nayo.
Inaonekana una tatizo kubwa kwenye lugha hii. Matumizi ya do, does na did kwenye uwingi na umoja yanafundishwa shule ya msingi. Ina maana hata elimu ya msingi hukuhitimu?
Niliona Ila nikasema isianze na mimi.Ungeandika tu kwa Kiswahili kuliko kuharibu lugha ya watu usiyo na uwezo nayo.
Inaonekana una tatizo kubwa kwenye lugha hii. Matumizi ya do, does na did kwenye uwingi na umoja yanafundishwa shule ya msingi. Ina maana hata elimu ya msingi hukuhitimu?