Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Hapa unawaambia wanafamilia au Nani? Kama ni wanafamilia ni sawa kwani walipewa pesa za rambirambi na mafao yake hivyo wawajibike! Wengine hawahusiki kwani walishaanua tanga la siku 21 na hawahusiki Tena kwa lolote! Tahadhari, usijekuta unataka Kodi zetu zikahudumie kukarabati mazingira ya kaburi?
 
Huyo ni mstaafu lazima kaburi lake liheshimiwe.mbona mwalimu Nyerere limejengewa vizuri?
 
[emoji1787][emoji1787] mmemtelekeza mzee. Bora mngeacha aisee
Achana na mambo yasiyokuhusu kwa afya ya ubongo wako! Unayemwongelea huenda hata hajawahi kukugusa wewe in person except as general public. Mambo ni mengi maishani, Streamline issues at your line then tekeleza kwa gharama zako, achana na tabia ya kuja kutulilia mitandaoni baada ya kufeli huko.
 
Makamu wa Raisi kafanya kosa kubwa sana hapo..hakukua na ulazima wakuchua picha hapo!poor decision
 
Mtu akisha kufa amekufa na marehemu rais alikuwa anajua Hilo,ndoo maana hata mwammposa alipokuwa kwenye mkutano naisi ilikuwa Moshi au Arusha,rais aliamuru asifungwe na aachwe aendee,au yule babu mwnye shule ya bweni na wale watoto,mtu akifa amekufa hakuna kingine tena
 
Duh watu hawafuatilii.....hayo mabati yamezungushiwa tuuu...nje ya mabati ujenzi unaendelea....msipaniki sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…