Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia hii hapa ya drone!Ni hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo , ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Labda kama atatumia njia alizotumia baba yake ambaye ni Rais mstaafu , ikumbukwe kwamba Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya kuteuliwa tu kwenye vikao vilivyofanyika Dodoma , hakuwahi kupigiwa kura na Wazanzibar.
Shukrani Wazanzibari Wazalendo kwa kuiwakilisha ACT Wazalendo leo Pemba kaeni ready mkao wa kula Juma4 asubuhi Uwanja wa Kibirinzi
View attachment 1568981
Naona ndio sera yako mpya, pole sana, hayo ndio mafuriko na ccm inahara maana haina chake zanzibar
Mpeni nchi yake Maalim Seif...... Wapeni wazanzibari nchi yao
Mungu mbariki Maalim Seif
Hapa mlikodi malori mangapi mkuu?
Mnaleta uchafu kwenye nyuzi za watu , kwanini usianzishe uzi wako halafu weka huu uchafu ?
Mlikatazwa kukodi nyinyi au??Hapa mlikodi malori mangapi mkuu?
Eeeeh unauona ni uchafu?? Tunakuonyesha kuwa CCM Baba Lao!!Mnaleta uchafu kwenye nyuzi za watu , kwanini usianzishe uzi wako halafu weka huu uchafu ?
Hatuna muda, watu waje kwa hiari sio kwa kulazimishwa wala kuwarubuni na show za wasanii uchwaraMlikatazwa kukodi nyinyi au??
WENGI WAO HAPO NI WATANGANYIKA WATALII WA MIKUTANO YA CCM NA WAFANYAKAZI WA SEKTA ZA SERIKALI VIKOSI VYA ULINZI NA WANAFUNZI WA SHULE WANAOLAZIMISHWA SIO WAZANZIBARI WAZALENDO)🙂🙂:
Yani hata ukiangalia nyuso zao wote wanaonekana hawana furaha kabisa ni kama wamelazimishwa tuWENGI WAO HAPO NI WATANGANYIKA WATALII WA MIKUTANO YA CCM NA WAFANYAKAZI WA SEKTA ZA SERIKALI VIKOSI VYA ULINZI NA WANAFUNZI WA SHULE WANAOLAZIMISHWA SIO WAZANZIBARI WAZALENDO)🙂🙂:
ANGALIA SURA ZAO🙂 UNADHANIA HAWA NI WAZANZIBARI???
View attachment 1569014