Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

Nawe ni bomu tu! Unategemea ununuzi wa korosho ujadiliwe bungeni kweli? Iko siku utaomba ugawaji wa mahindi ya msaada kwa walio na njaa yajadiliwe Bungeni.
 
Umemaliza comrade..!!! Wanajitekenya zen wanacheka wenyewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi zile ndege zilinunuliwa na rais au serikali?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
No hicho nilichoandika ndicho kinaenda kutokea, kwa hiyo sidhani kama nitabadilisha. subiri muda siku chache zijazo utashangaa
Ila mkuu ulichokiandika ni kuvuta views tuache na utani.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Hivi unaota au umeshaamka? Tanzania ya sasa hakuna sheria inayoheshimiwa isipokuwa kauli za kisiasa na ndio zinazofanya kazi.
Kwako wewe mwenye mawazo/ fikra potofu/hasi/chafu ndio maana unakuwa sheikh Yahya ambao kwa wafuata dini ni dhambi sasa na mimi nisingependa kuwa sheik Yahya kusema wewe ni msafi au mchafu na kuacha na utabiri wako.
 
Ataondolewa kwa Sheria ipi?
 
CAG angekua anatumbulika angeshakua bench siku nyingi.. Kwa sasa endeleeni kutulia tu dawa ifanye kazi vizuri!

Wanachoweza kufanya kwa sasa ni kumuundia zengwe ili wajustify kuunda tume ya majaji toka nchi za jumuiya ya madola ili kutafuta sababu za kumtoa.. Na hiyo tume labda waweke majaji wao waliowateua majuzi!

Prof Assad chapa Kazi, nasema chapa kaaazi! Wananchi tunaona utendaji wako uliotukuka
 
Unatumia kinywaji gani cha kienyeji? Chimpumu ,mbege au wanzuki?? Au ndio wale wakimpata mtu wa kuwanunulia basi kinywaji kina badilika kuwa whisky, amarula, savanah etc
Maana naona unatiririka ki local au kilevilevi vile
 
Unatumia kinywaji gani cha kienyeji? Chimpumu ,mbege au wanzuki?? Au ndio wale wakimpata mtu wa kuwanunulia basi kinywaji kina badilika kuwa whisky, amarula, savanah etc

you guy be serious with issues being discussed here, don't try to insult your fellow brothers and sisters here.
 
you guy be serious with issues being discussed here, don't try to insult your fellow brothers and sisters here.
Wewe unataka watu wawe serious wakati wewe mwenyewe haupo serious au factual
 
Kilicho kwenye ilani ya ccm tayari kimepitishwa na bunge.
Raisi ccm, spika ccm na ilani ni ya ccm
 
Well spoken

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All option are under his table, ukute mpaka anasema hivyo alishajua kitatokea nn, wengine kusema ukweli ni bora zaidi ya hiyo ajira ambayo kwako ndio ndoto ya maisha yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wewe ndio hujielewi kabisa, tangu lini utawala huu umeheshimu katiba na sheria za nchi? ni mara ngapi katiba imevunjwa na sheria kutupiliwa mbali? pesa ya umma inatumika kufanya vitu ambavyo havijajadiliwa na bunge wala kuidhinishwa, acha kujiondoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…