Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

Hiviz ile tirioni 1.5 majibu yenye mashiko yalipatikana?
 
Mkuu, kwa watu wasiojali katiba kama Magufuli hilo linawezekana. Mark my words. Kwani kashavunja katiba mara ngapi na hakuna kinachomtokea?
 
Shida so ununuzi wa korosho shida kuidhinisha fedha za kununua koroshl

Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge letu linafuata mfumo wa westminister lakini, tofauti na waingereza vikao haviendelei mwaka mzima. Ikitokea dhalula hatuna kikao cha bunge cha dhalula kujadili pesa za korosho na hiyo ni kawaida ya tangu enzi.
 
katiba hairuhusu CAG kuhudumu katika nafasi nyingine yeyote baada ya kushika nafasi.
 
Kumtumbua hawawezi ila wanaweza kumbugudhi bugudhi tu mpaka akimbie mwenyewe ila kumtoa kama anavyotoa wengine kila siku hana huo ubavu ila lolote linawezekana vile vile kwenye awamu hii, yetu macho na masikio.
 
wala siyo akiba that's what is going to happen soon, just take heed

Mkuu nakubaliana kabisa na ww. Hilo litatokea lakini hata huyo CAG hataki kufanya kazi anayoshuhudia wizi wa wazi kisha anaambiwa akae kimya. Kuna taasisi nyingi tu zinafanya kwa weledi ambazo anaweza kwenda kufanya kazi.
 
Ni
Proffessor yule haogopi kutenguliwa na kutenguliwa kwake ni kama ameshindwa kufanya kazi yak
Analindwa na sheria rais hawez kumtoa
 
Ni
Proffessor yule haogopi kutenguliwa na kutenguliwa kwake ni kama ameshindwa kufanya kazi yak
Analindwa na sheria rais hawez kumtoa


Tatizo watu hawaheshimu katiba na sheria za nchi
 
Kwa.mujibu wa katiba mtu akishateuliwa CAG na kustaafu au kuacha hatastahili kuteuliwa kwenye nafasi yeyote nyingine katika utumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Link Ludovick Utoh: Spika Ndugai kumwita CAG Assad ni jambo jipya, halijawai kutokea toka nchi kupata uhuru - JamiiForums


Magufuli ameshasema mara kadha kwamba serikalini kuna mambo ya hovyo hovyo, je ni sawa na kusema kwamba serikali yake ni ya hovyo hovyo?

Waliokurupuka kumrarua CAG wanajishitukia wenyewe tu lakini CAG hakusema "bunge ni dhaifu", alichokisema ni kuwa bunge lina udhaifu, ni sawa na kusema bunge lina kasoro ambayo inabidi irekebishwe.

Je huyu mdau anasema "Magufuli ni dhaifu"? Hapana. Amesema Magufuli ana udhaifu (kasoro) ambayo inampasa airekebishe.

Link Sishauri sana Rais Magufuli awe ana 'disclose' mara kwa mara 'findings' za TISS publicly kwani anawaharibia - JamiiForums
 
Sijawahi ona supika dhaifu kama huyu kutwa yupo kwenye hafla za jiwe
Kweli alichosema pro Assad bunge ni dhaifu sana tena sana
 

Sheria hairuhusu Ukitoka Kwenye nafasi ya CAG kuhudumia Kwenye nafasi yoyote ya Uteuzi

Marehemu Mzee Aboud CAG 1969-1996 Baada ya kustaafu hakuhudumu kwny nafasi yoyote ile , The same to Ludovick

Assad akimalizana Na CAG Labda afungue ofisi yake Kama alivyofanya Uttoh
 
watanzania wajinga sana CAG hatumbuliwi.
 
Umeandika ukweli sana , Ndugai soma hii. Mapungufu na udhaifu wa bunge kupitia wabunge wa ccm ni mkubwa sana. Bunge hadi leo hawajaibana serikali kueleza ziliko 1.5 trillions. CAG yupo sahihi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…