KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.
Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.
Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.
Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?
Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
ungekaa kimya ungeonekana na busara ila sasa kila mtu anakuona mjinga kwa kupayuka ovyo. unadhani CPA ni nini katika CV yake? unadhani kufanya ' review and assessment of financial information' ni nini? siku nyingine uulize kwanza auditing ni nini na auditor ni naniHuyu prof Assad kawa auditor wapi? Kwa cv yake inaonyesha maisha yake yote alikuwa mwalimu wa book keeping hapo udsm, na tukimuuliza dr,shule anaweza tuambia kama hajawahi shika chuchu,
hivi unapofanya auditing ndo uanze kuropoka ooh yule kihiyo pale hela imepigwa, ni kazi yako?
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.
Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.
Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.
Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?
Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
Absolutely trueanaweza kushikiwa mtutu gizani akaamriwa atangaze kustaafu
hakuna kinacho shindikana kasome sheria na katiba vizuri kwa utulivu...Peleka Ujinga wako huko! Umekaa kiumbea Sana. Nenda kasome ujiridhishe Kama CAG anatumbuliwa Kama vihiyo wenzako huko CCM! Assad is there to stay until 2021! Pasukeni, jichomeni vidole kwenye vinyeo vyenu, Hakuna wa Kumtumbua Assad, so better swallow your bitter pills!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu prof Assad kawa auditor wapi? Kwa cv yake inaonyesha maisha yake yote alikuwa mwalimu wa book keeping hapo udsm, na tukimuuliza dr,shule anaweza tuambia kama hajawahi shika chuchu,
hivi unapofanya auditing ndo uanze kuropoka ooh yule kihiyo pale hela imepigwa, ni kazi yako?
Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.
Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.
Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.
Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?
Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
hakuna kinacho shindikana kasome sheria na katiba vizuri kwa utulivu...
mimi naombea atumbuliwe tu (hata kwa kupindisha katiba) kwani tutakuwa tumepata uthibitisho 101% kuwa serekali ya awamu ya 5 ni ya kifisadi na hii itakuwa ndiyo ajenda maalumu na mujarab kuingia nayo 2020.Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.
Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.
Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.
Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?
Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
ana tumbuliwa kama mwwnyekiti wa bodi ya chadema?Kasome ww uelewe,
CAG hatumbuliwi km mwenyekiti wa body ya pamba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siokuangalia kibarua hapo jambo kubwa nikuangalia nafasi ulionayo ambayo unajitumikia wewe pamoja na watanzania wa sasa nawabaadae unaitendea haki naitatoa makusudio chanya kama makusudio ilivyowekwa?pia hapa ndio kunacha gamoto kubwa sana kwa wabunge waliopitia ccm wengi wanashindwa kuwa wakweli nakushindwa kufanya kazi yakuisimamamia serekali kwa sababu kuu mbili moja kuwa nawasiwasi nikiismamamia serekali nitaombwa kadi nakupoteza nafasi yangu na yapili nikusaka nafasi za teuzi kama uwaziri naunapo kuwa simbunge kupata nafasi zingine nashauri wachukue nafasi hizi kutumikia watu kama walivyo omba kwani wakifanya hivyo watanufaika sana kwani huduma nyingi zitaboreshwa waache ubinafsi .nampongeza sana prof kwakuangalia nafasi alionayo nanini matarajio kwa watanzania juu ya nafasi anayoitumikiaNdugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.
Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.
Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa ubinafsi a kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.
Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?
Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
Sio rahisi kama unavyofikiria. Believe meanaweza kushikiwa mtutu gizani akaamriwa atangaze kustaafu
Huyu prof Assad kawa auditor wapi? Kwa cv yake inaonyesha maisha yake yote alikuwa mwalimu wa book keeping hapo udsm, na tukimuuliza dr,shule anaweza tuambia kama hajawahi shika chuchu,
hivi unapofanya auditing ndo uanze kuropoka ooh yule kihiyo pale hela imepigwa, ni kazi yako?
anaweza kushikiwa mtutu gizani akaamriwa atangaze kustaafu
Na hiyo ndio style ya hii namba tano! They shoot from the hip, je mmesahau ya Tundu Lissu?anaweza kushikiwa mtutu gizani akaamriwa atangaze kustaafu
Peleka Ujinga wako huko! Umekaa kiumbea Sana. Nenda kasome ujiridhishe Kama CAG anatumbuliwa Kama vihiyo wenzako huko CCM! Assad is there to stay until 2021! Pasukeni, jichomeni vidole kwenye vinyeo vyenu, Hakuna wa Kumtumbua Assad, so better swallow your bitter pills!
Sent using Jamii Forums mobile app