Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

D

DeletedMember281674

Guest
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.

Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.

Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.

Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
 
Wahalifu wa kweli hawatoenda kulala Hotelini au guest au lodge au air bnb na Wala hutawaona kwenye mabar na pia hutawaona wakipanda mabasi ya Raia...kwa codes hizi za Waziri Hawa jamaa watakodi flat Apartments au nyumba za ghorofa mitaa ya ushuhani kama Masaki au oyesterbay na pia watatumia gari za kukodi na siyo Bolt au Farasi...itakuwa ngumu sana kuwabaini
 
Tatizo hawataki tukae pamoja. Mtu anaamka kutoka kwake anaenda kutoa maamuzi ambayo katika muda mfupi ujao yatakwenda kuangamiza taifa hasa katika uchumi na mshikamano. Kama mnavyowajua askari wetu hapo washapewa chanzo cha mapato. Ni rushwa na kubambikizia watu makosa kwa kwenda mbele.
 
Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.

Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.
Hivi ni lazima vyombo hivyo; hapana, siyo vyombo, bali askari mmojammoja...kwani ni lazima kutimiza amri za kijinga hivyo?

Huko porini kwa nini kujihangaisha na kufanya upuuzi huo. Peleka tu ripoti kuwa kazi imefanyika kama ilivyoamriwa.

Wakati wa hivi vyombo kutoa mchango wao ni sasa; hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa.
 
Wahalifu wa kweli hawatoenda kulala Hotelini au guest au lodge au air bnb na Wala hutawaona kwenye mabar na pia hutawaona wakipanda mabasi ya Raia...kwa codes hizi za Waziri Hawa jamaa watakodi flat Apartments au nyumba za ghorofa mitaa ya ushuhani kama Masaki au oyesterbay na pia watatumia gari za kukodi na siyo Bolt au Farasi...itakuwa ngumu sana kuwabaini
Hivi hao wahalifu wanavitambulisho vya uhalifu?
Kutokuwa na NIDA ni uhalifu?

Kwenda kulala nyumba ya wageni ni uhalifu

Wahalifu wanatambuliwa kwa alama zipi?
 
Screenshot_20260616-173300~2.png
 
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.

Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.

Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.

Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
Mimi najiuliza ni kwanini Katambi ame choose the path ya kuwa controversial wakati portfolio yake ina mambo mengi muhimu Bali ana deal ya issue ambazo zinaenda kumletea shida! Au ndio wakubwa wanamtengenezea ajali ya kisiasa?
 
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.

Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.

Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.

Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
Vipi ikitokea mtu anacho kitambulisho cha NIDA na bado akawa mhalifu?.
Na kama sivyo, kumbe tuna wasiwasi kuwa waharifu wanatokea nchi za zingine?.
Na je, walioandamana tarehe 29 Oktoba 2025 wengi wao walitoka nje ya nchi.
Tunalipenda Taifa letu ila waziri kama huyu anatia wasiwasi.
 
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.

Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.

Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.

Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
gentleman,
hakuna kitu kigumu wala kizito kwa well trained security officers hususani wa Tanzania.

Suala la ukaguzi wa kiusalama ni lazima na sio hiyari. Ugumu unatoka wap na wakati hilo ni jukumu la mahususi?

Ni muhimu sana kutii sheria bila shuruti, kuepuka usumbufu au majuto baadae.
Utakaguliwa bila mbambamba kwa hiyari na kwa lazima pia 🐒
 
Kiongozi wangu check pm DM nimekutumia ujumbe Tlaatlaah
 
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.

Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.

Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.

Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
Screenshot_20260617-221102~2.png
 
Wahalifu wa kweli hawatoenda kulala Hotelini au guest au lodge au air bnb na Wala hutawaona kwenye mabar na pia hutawaona wakipanda mabasi ya Raia...kwa codes hizi za Waziri Hawa jamaa watakodi flat Apartments au nyumba za ghorofa mitaa ya ushuhani kama Masaki au oyesterbay na pia watatumia gari za kukodi na siyo Bolt au Farasi...itakuwa ngumu sana kuwabaini
Kwani wapo wahalifu, ni mbinu za kuibana chadema. Hakuna tishio lolote la usalama. Katambi atakuja kulipa yote haya
 
Nchi Ina Hekaheka Sana...Kila sehemu ni FUTUHI TU...Yaani wanatuona wananchi wote ni mazwazwa tu...Gen Z wa Bongo wanakiwasha Sana na hapo bado watoto wao Gen Alpha hawajakua ...Gen Alpha wakikua nadhani nchi itaenda Mwaka moto...!
 
Back
Top Bottom