D
Hivi ni lazima vyombo hivyo; hapana, siyo vyombo, bali askari mmojammoja...kwani ni lazima kutimiza amri za kijinga hivyo?Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.
Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.
Hivi hao wahalifu wanavitambulisho vya uhalifu?Wahalifu wa kweli hawatoenda kulala Hotelini au guest au lodge au air bnb na Wala hutawaona kwenye mabar na pia hutawaona wakipanda mabasi ya Raia...kwa codes hizi za Waziri Hawa jamaa watakodi flat Apartments au nyumba za ghorofa mitaa ya ushuhani kama Masaki au oyesterbay na pia watatumia gari za kukodi na siyo Bolt au Farasi...itakuwa ngumu sana kuwabaini
Mimi najiuliza ni kwanini Katambi ame choose the path ya kuwa controversial wakati portfolio yake ina mambo mengi muhimu Bali ana deal ya issue ambazo zinaenda kumletea shida! Au ndio wakubwa wanamtengenezea ajali ya kisiasa?Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.
Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.
Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.
Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
Vipi ikitokea mtu anacho kitambulisho cha NIDA na bado akawa mhalifu?.Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.
Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.
Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.
Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
gentleman,Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.
Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.
Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.
Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
Kiongozi wangu check pm DM nimekutumia ujumbe Tlaatlaahgentleman,
hakuna kitu kigumu wala kizito kwa well trained security officers hususani wa Tanzania.
Suala la ukaguzi wa kiusalama ni lazima na sio hiyari. Ugumu unatoka wap na wakati hilo ni jukumu la mahususi?
Ni muhimu sana kutii sheria bila shuruti, kuepuka usumbufu au majuto baadae.
Utakaguliwa bila mbambamba kwa hiyari na kwa lazima pia 🐒
Ccm ni wapumbavu wamejaa mipashoKibarua ni kigumu sana kwa magaidi-waandamanaji! ... na wavimbe wapasuke!
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani.
Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama. Maana hata Bar pia Kuna baadhi zitaenda kufungwa na biashara kupata hasara.
Hapa bado abiria wa mabasi kushushwa katika check point zisizo rasmi za porini na kutakiwa kupanga mstari kukaguliwa vitambulisho vya TAIFA.
Kwanini tumefikishana hapa??? Tumaini chanzo tutae changamoto iliyopo
Kwani wapo wahalifu, ni mbinu za kuibana chadema. Hakuna tishio lolote la usalama. Katambi atakuja kulipa yote hayaWahalifu wa kweli hawatoenda kulala Hotelini au guest au lodge au air bnb na Wala hutawaona kwenye mabar na pia hutawaona wakipanda mabasi ya Raia...kwa codes hizi za Waziri Hawa jamaa watakodi flat Apartments au nyumba za ghorofa mitaa ya ushuhani kama Masaki au oyesterbay na pia watatumia gari za kukodi na siyo Bolt au Farasi...itakuwa ngumu sana kuwabaini
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone ageKibarua ni kigumu sana kwa magaidi-waandamanaji! ... na wavimbe wapasuke!
Kwani wapo wahalifu, ni mbinu za kuibana chadema. Hakuna tishio lolote la usalama. Katambi atakuja kulipa yote haya