JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Spika anaweza kufanya maamuzi ya kukiuka Katiba. Je, naibu spika anaweza kumzuia!? Kwenye kesi ya yule Professor aliyekuwa balozi nchini Italia, mbona Marehemu Mkapa alipanda kizimbani makamani? Kwani Rais Kikwete hakuwepo au Marehemu Mkapa alihama na ofisi!?Huna akili kwani Ndugai aliwapitisha kama watoto wake au kama Spika??
Kwani kahama na ofisi yake??
Si kuna spika mwingine??
Wakati mwingine utumie ubongo badala ya miguu kufikiri.