Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Sasa hapo anahojiwa kama Ndugai au ofisi ya spika wa bunge?.Kwani wewe kada wa CCM, wakati huo wanapokelewa akina Halima Mdee, ulikuwa hujui kuwa Spika wa Bunge alikuwa Ndugai na wala hakuwa Tulia Ackson?[emoji28]
Je Ndugai angekuwa amekufa, ndio ingekuwa mwisho wa kithibitisha uhalali wa ofisi?. Kesho wanaifanya ichukue muda CDM wenyewe. Ofisi ya spika si ipo kuthibitisha? Au hakuna kumbukumbu za kiofisi