Kibatala awataka Ndugai na Mahera mahakamani

Kwani wewe kada wa CCM, wakati huo wanapokelewa akina Halima Mdee, ulikuwa hujui kuwa Spika wa Bunge alikuwa Ndugai na wala hakuwa Tulia Ackson?[emoji28]
Sasa hapo anahojiwa kama Ndugai au ofisi ya spika wa bunge?.
Je Ndugai angekuwa amekufa, ndio ingekuwa mwisho wa kithibitisha uhalali wa ofisi?. Kesho wanaifanya ichukue muda CDM wenyewe. Ofisi ya spika si ipo kuthibitisha? Au hakuna kumbukumbu za kiofisi
 
Safi sana.
 
... miongoni mwa kesi nyingine tamu katika historia ya Tanganyika. Tunaisubiria kwa hamu.
Kesi nzuri sana hii kama itakubaliwa na kufuatwa barabara ndipo tutajua umuhimu wa utawala bora katika Taifa huru.
 
Na ndugai keshatemwa na system ataachwa apambane na hali yake.
 
Hizi zinaweza kuwa dalili za chadema kushindwa kwenye hii kesi sasa Ndugai na Mahera wanahusika vipi wakati majina walipeleka wenyewe? wakina mdee sio wajinga kupeleka kesi yao mahakamani hao chadema wanachezeana michezo ya kuhuni wenyewe kwa wenyewe
 
Kuna kazi alijiwekea Kinga kutoshtakiwa,kwa kuwa Ni kuhojiwa tu labda atakuja.
 
Sasa katika hatua hii ni wakati muafaka kesi hii ifutwe kabla haijadhalilisha serikali na baadhi ya watendaji wakuu wanaosimamia haki na sheria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…