Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

Mishenyi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2019
Posts
464
Reaction score
748
Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
 
Ndo maana ya kuitwa wakili msomi
Kila kitu unatakiwa ujue
Ikija kesi inayohusu anga anatakiwa ajue mambo ya anga
Ikiwa kesi inahusu mwili wa binadamu labda dokta alikosea operesheni anatakiwa ajue kila kitu
Ndo maana waitwa wakili msomi babu .upo nyonyo??
 
Huwa najiuliza wafanyakazi wa serikali walisomea wapi ni weupe mno tena mnoooo
Mimi n bwege ila kwa wafanyakazi wa serikali (wengi wao) siwakuti kwa ubwege

Ila Yana nafasi kubwa dadeq, hela nzuri ila akili za kuvukia barabara

Hizo kesi zote wanapelekeshwa balaa yaani mtu anafanya Kazi za upelelezi anaulizwa kirefu cha idara yake hajui ***** wallah
 
Kawaida tu before hawajaingia mahakami wanakuwa wamepitia pitia madesa kidogo maana SI wanakuwa wanajua NI mashahidi gani wanaenda kukutana nao ..na siku hizi maarifa unayapata tu kupitia internet
Huwezi kuwa na exposure na smart kwenye mambo sensitive kwa kutegemea tu internet
 
Hawajui cho chote zaidi ya sheria waliyosomea ila kabla ya kuja mahakamani kufanya cross examination ya shahidi mtalaamu huwa wamegoogle au wamewasiliana na mtalaamu mwingine wa suala husika ili wamchachafye huyo shahidi mtalaamu.

Kwa hiyo kama ni masuala ya uganga (udaktari) utafikiri nao wanajua udaktari. Wakitoka humo hawakumbuki cho chote. Ndivyo ilivyo kwa mawakili wote mahakamani.

Hivyo kama wewe ni shahidi unayeenda kutoa ushahidi wa kitalaamu mahakamani ni lazima uwe umejipanga vizuri, la sivyo mawakili wanaweza kukuaibisha.
 
Ndo maana ya kuitwa wakili msomi
Kila kitu unatakiwa ujue
Ikija kesi inayohusu anga anatakiwa ajue mambo ya anga
Ikiwa kesi inahusu mwili wa binadamu labda dokta alikosea operesheni anatakiwa ajue kila kitu
Ndo maana waitwa wakili msomi babu .upo nyonyo??
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah eti upo nyonyo!
 
Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
mkiambiwa wanaitwa mawakili wasomi mnabeza, sio kila msomi ameelimika, ukisikia wakili msomi ujue kuna wigo mpana wa taaluma yake'' kuna wacheza mpira tunawaita mafundi''
 
Kawaida tu before hawajaingia mahakami wanakuwa wamepitia pitia madesa kidogo maana SI wanakuwa wanajua NI mashahidi gani wanaenda kukutana nao ..na siku hizi maarifa unayapata tu kupitia internet
Licha ya kupitia wako vizuri ukiondoa elimu yao ya sheria walisoma darasani wanakipaji na akili ya kuzaliwa. They are very smart and intelligent.

Kwa ufupi ni Hawa ni watanzania wachache ambao hawakukariri bali walisoma na kuelewa.
 
Back
Top Bottom