Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

Ndo maana ya kuitwa wakili msomi
Kila kitu unatakiwa ujue
Ikija kesi inayohusu anga anatakiwa ajue mambo ya anga
Ikiwa kesi inahusu mwili wa binadamu labda dokta alikosea operesheni anatakiwa ajue kila kitu
Ndo maana waitwa wakili msomi babu .upo nyonyo??
Huwa nafurahishwa sana na comments zako Miss. Mungu vile!
 
Hawajui cho chote zaidi ya sheria waliyosomea ila kabla ya kuja mahakamani kufanya cross examination ya shahidi mtalaamu huwa wamegoogle au wamewasiliana...
Kwa hiyo mawakili wenu wa Serikali huwa hawajipangi kabla?
 
Nao huwa wamejipanga hivyo hivyo wakati wao ukifika wa re-examination ili kuweka mambo sawa pale ushshidi wa mteja wao ulipotikiswa wakati wa cross examination. Huo ndiyo ulivyo mchezo wa mahakamani. Mwisho wa mchezo ni hakimu au jaji anayeamua mshindi wa huo mchezo.

Bado ngoma ni mbichi. Tegemea kuona video na audio clips za Mbowe zikiwasiliana na Komandoo Deus Urio ambaye hivi punde atatinga kizimbani akiwa ni shahidi wa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakina Kibatara wako pale kupiga pesa ya chadema isiyopungua 5 million kwa siku. Ndiyo maana kaacha kazi zake nyingine zote. Wahenga wanasema kufa kufaana. Lazima Kibatara aonekane pesa hiyo kaifanyia kazi.
 
Naona unajipa matumaini mwana ccm mwenzangu.....kwa taarifa yako hii kesi mbowe hafungwi wala hanyongwi..nafahamu una machungu ya sabaya kufungwa miaka 30..ukweli unabaki palepale sabaya ni muharifu mkubwa😁
 
Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
Actus reus non facit reum nisi mens sit rea.
 
Naona unajipa matumaini mwana ccm mwenzangu.....kwa taarifa yako hii kesi mbowe hafungwi wala hanyongwi..nafahamu una machungu ya sabaya kufungwa miaka 30..ukweli unabaki palepale sabaya ni muharifu mkubwa😁
Hata asipofungwa huu mwaka mzima aliokaa gerezani kama mahabusu umepelekea chadema kufariki kisiasa. Chama kimefilisika. Kimebaki na watu wachache tu ambao hawana kazi yo yote isipokuwa kushinda mahakamani. Hatua itakayofuata ni Mbowe kujiuzuru uwenyekiti. Lissu kama akirudi kesi ya ugaidi naye inamsubiri. Kilele chake ni msajili wa vyama vya siasa ni kukifuta chama hiki kwenye daftari lake.
 
Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
Yaan hadi raha
Screenshot_20220119-203623-967.jpg
 
Huwa najiuliza wafanyakazi wa serikali walisomea wapi ni weupe mno tena mnoooo
Mimi n bwege ila kwa wafanyakazi wa serikali (wengi wao) siwakuti kwa ubwege

Ila Yana nafasi kubwa dadeq, hela nzuri ila akili za kuvukia barabara

Hizo kesi zote wanapelekeshwa balaa yaani mtu anafanya Kazi za upelelezi anaulizwa kirefu cha idara yake hajui ***** wallah
Kesi ya mchongo,jaji wa mchongo na mashahidi wa mchongo
 
Kunatimu kubwa sana wanafanya nao kazi kwenye hiyo kesi ,usiwaone wapo hspo kumi au ishirini ukadhani ni wao tu.
Kuna wataalamu wa kila kinachohusiana na hiyo kesi wengine ni kutoka nje
Baba levo alisema chadema ina mawakili elf sita na wanabishana na sirikali hahah
 
Hata asipofungwa huu mwaka mzima aliokaa gerezani kama mahabusu umepelekea chadema kufariki kisiasa. Chama kimefilisika. Kimebaki na watu wachache tu ambao hawana kazi yo yote isipokuwa kushinda mahakamani. Hatua itakayofuata ni Mbowe kujiuzuru uwenyekiti. Lissu kama akirudi kesi ya ugaidi naye inamsubiri. Kilele chake ni msajili wa vyama vya siasa ni kukifuta chama hiki kwenye daftari lake.
Unahisi upinzani Mbowe ndie alieuanzisha Tanzania hii?...upinzani upo toka enzi za Mrema na TLP yake...chama cha chadema kilipata nguvu baada ya chama cha CUF kusuasua..UPINZANI UPO NA UTAENDELEA KUWEPO MPAKA YESU ANARUDI..
 
Shahidi wa serikali leo kaenda chooni mara 2 [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hata asipofungwa huu mwaka mzima aliokaa gerezani kama mahabusu umepelekea chadema kufariki kisiasa. Chama kimefilisika. Kimebaki na watu wachache tu ambao hawana kazi yo yote isipokuwa kushinda mahakamani. Hatua itakayofuata ni Mbowe kujiuzuru uwenyekiti. Lissu kama akirudi kesi ya ugaidi naye inamsubiri. Kilele chake ni msajili wa vyama vya siasa ni kukifuta chama hiki kwenye daftari lake.
Wewe pimbi upinzani upo kwenye mioyo ya watanzania,hata kama mbowe ataondoka bado upinzani utakuwepo
 
Back
Top Bottom