Kwamba Kitabala amekuwa malaika atakuwa anazunguka nchi mzima kila mahakama yupo kama vile yeye hana familia, CHADEMA ina mawakili wengi sn tena wazuriKuwa specific and to the points intended,fella!Umeishia kutuhabarisha kwa maswali tu.
-Anaitwa nani?Jina kamili la huyo Kibatala.
-Anahusika na nini?
-Dini yake ni ipi?
-Hiyo dini yake umeihisishaje na kutokua bora?
-Kaitumiaje hiyo dini yake dhidi ya nani?
-Kifanyike kipi ili tusonge mbele?
Kwani UWT hakuna mawakili?aliewapigania ni Madeleka. lete kesi moja alioisimamia Kibatala kwa masheikh
unataka kusema CHADEMA ni wabaguzi? yeye ndie mkuu wa sheria Chadema. au hujui?Kwamba Kitabala amekuwa malaika atakuwa anazunguka nchi mzima kila mahakama yupo kama vile yeye hana familia, CHADEMA ina mawakili wengi sn tena wazuri
Malaria Sugu ni janga la kitaifa.Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? hataki na yeye kupata haki?
2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?
Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.
Ni hayo tu.
Sheikh Mohammed Said ametoa historia ambayo babu zako wanaikubali, sio wewe uliosemeshwa historia za J2Ukimjua mzee mohamed said utaacha kumuita kibatala mdini na utamtaka radhi
Tatizo udini umekujaa sana Hadi akili zimehamaSitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? hataki na yeye kupata haki?
2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?
Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.
Ni hayo tu.
Mkuu wa sheria CHADEMA ni Lissu, CHADEMA wana mawakili wa kutosha, kwahiyo kila sehemu Kibatala pekee atakuwa anazunguka? kwani mawakili waliotumwa hawatoshi?unataka kusema CHADEMA ni wabaguzi? yeye ndie mkuu wa sheria Chadema. au hujui?
chadema wametuma mawakili? au wametuma akina Bony Yai twitter?Mkuu wa sheria CHADEMA ni Lissu, CHADEMA wana mawakili wa kutosha, kwahiyo kila sehemu Kibatala pekee atakuwa anazunguka? kwani mawakili waliotumwa hawatoshi?
Unapoandika kitu kama hicho hapo uwe na evidence/Ushahidi. Kibatala hayuko mbinguni wala Ulaya, kwa nini usiombe simu yake na umpigie simu umuulize hayo maswali? Yote unauliza "kama tumewahi kusikia". Hata wewe huna uhakika. Omba simu yake mpigie muulizeSitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? hataki na yeye kupata haki?
2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?
Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.
Ni hayo tu.
Huu ugonjwa wako wa dini utaacha lini toka enzi zilee hadi ukalisusa jukwaa nikajua umejirekebisha kumbe bado hili gonjwa linakutesa.unataka kusema CHADEMA ni wabaguzi? yeye ndie mkuu wa sheria Chadema. au hujui?
Kwanini nyie UWT msitume? nyie sisi watetezi wa watanzania wote?chadema wametuma mawakili? au wametuma akina Bony Yai twitter?
Tafasiri ya udini ni pana. wengi wanachukulia uislam ni udiniTatizo udini umekujaa sana Hadi akili zimehama
The bloody-fundamentalist!Huu ugonjwa wako wa dini utaacha lini toka enzi zilee hadi ukalisusa jukwaa nikajua umejirekebisha kumbe bado hili gonjwa linakutesa.
Kama walivyomtetea mama wa nyamapori kule Iringa.Kwanini nyie UWT msitume? nyie sisi watetezi wa watanzania wote?