Kibatala ni Wakili mzuri lakini kinachomsumbua ni ubaguzi

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha:

1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? Hataki na yeye kupata haki?

2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?

Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.

Ni hayo tu.
 
Kuwa specific and to the points intended,fella!Umeishia kutuhabarisha kwa maswali tu.

-Anaitwa nani?Jina kamili la huyo Kibatala.
-Anahusika na nini?
-Dini yake ni ipi?
-Hiyo dini yake umeihisishaje na kutokua bora?
-Kaitumiaje hiyo dini yake dhidi ya nani?
-Kifanyike kipi ili tusonge mbele?
 
Kwamba Kitabala amekuwa malaika atakuwa anazunguka nchi mzima kila mahakama yupo kama vile yeye hana familia, CHADEMA ina mawakili wengi sn tena wazuri
 
unataka kusema CHADEMA ni wabaguzi? yeye ndie mkuu wa sheria Chadema. au hujui?
 
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? hataki na yeye kupata haki?

2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?

Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.

Ni hayo tu.
Malaria Sugu ni janga la kitaifa.
 
Tatizo udini umekujaa sana Hadi akili zimehama
 
Mkuu wa sheria CHADEMA ni Lissu, CHADEMA wana mawakili wa kutosha, kwahiyo kila sehemu Kibatala pekee atakuwa anazunguka? kwani mawakili waliotumwa hawatoshi?
chadema wametuma mawakili? au wametuma akina Bony Yai twitter?
 
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? hataki na yeye kupata haki?

2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?

Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.

Ni hayo tu.
Unapoandika kitu kama hicho hapo uwe na evidence/Ushahidi. Kibatala hayuko mbinguni wala Ulaya, kwa nini usiombe simu yake na umpigie simu umuulize hayo maswali? Yote unauliza "kama tumewahi kusikia". Hata wewe huna uhakika. Omba simu yake mpigie muulize
 
Back
Top Bottom