Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

Ungekuwa huna uelement wa uchawa ungengalia hii issue kwa akili huru hivyo ungewashauri hao mapolisi waliofungua kesi ya hovyo.
 
Hoja yako hapa ninini sasa ? maana naona kama unalalamika tu. hembu kunywa maji halafu andika tene
 
ukitaka kuishi na mjinga muoneshe dharau na majingambo ili kujilinda
 

Watu kama nyinyi mnaipa kazi kubwa sana Jamii Forum kuwa mtu wa kati ikitokea Kibatala akapata madhara. Vitisho kama ivi ikitokea leo kibatala kapigwa jiwe la mzungu inakuaje mzee baba
 
kasome sheria kwanza mkuu hizo ni lugha za tambo ni muhimu sana kumdhoofisha nakumkata mpinzani wako kuna topic yake kabisa mwiko ni kutukana na kudhalilisha tu. kama sio mwanasheria epuka sana kutoa comment kuhusiana na sheria. sheria inahitaji kusoma ndo mana tunaitwa learned ones.
 
Umeongea kama Afisa wa Police...!
 
Kwenye andiko lako...unaonekana una chuki binafsi na Kibatala. πŸ˜€
 
Kwahiyo kumbe huko mahakamanisio sehemu ya kupatia haki, bali ni eneo la kukomoana? Mmeigeuza mahakama sehemu ya kutishia watu badala ya kupatia haki. Msilazimishe kunyenyekewa huku madaraka yenyewe mnapata kwa kupora chaguzi za nchi. Mnalazimisha kutawala kwa shuruti, matokeo yake mnazigeuza mahakama kufanya Kazi kwa kubeba hisia na utashi wenu, na sio kutenda haki.
 
kuna wasiwasi wasiwasi mkubwa hawa ndugu washtakiwa wapotoshaji wakakosa kupata haki zao za msingi kwa majivuno, ubishi na ujuaji usio kua na tija wa wakili wao πŸ’
Ni kweli, maana haki inapatikana kwa kujinyeyekeza.
 
Wewe mpuuzi kweli tena ni njagu jinga lisilojua PGO subiri ubaoni ukajiharishie eti kuwa behind the bars bila ushahidi hapo ndio ulipojidhihirisha wewe ni nani! Siku yaja nyie mnaosigina sheria na uniform zenu mtajificha chooni trust me! Mbuzi wahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…