Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
Watu wa chadema wajifunze kitu kwenye picha hii, ukiacha mbowe sioni mtu mwenye sifa ya kuongoza hata kijiji chadema
 
Attachments

  • Screenshot_20240508-193442_Instagram.jpg
    Screenshot_20240508-193442_Instagram.jpg
    349.4 KB · Views: 7
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
Kujivuna/kuringa pia ni kosa!?
 
Huu ujumbe ni bora ungetafuta mawasiliano yake umtumie, sasa sisi wengine tujibu nini hapa wakati umemlenga mtu mmoja?
Nimekumbuka zamani tukiwa shule ya msingi. Ukiona jama aliyekuchokoza huna nguvu za kupigana nae, unaanza tambu kwa wanaomjua. Kuwa "Mwambieni jamaa mimi sichezewi,nitampiga ngumi moja adondoke"
 
Angekuwa mwanasheria wa maana angeenda International Court Of Appeal au hata anga zingine za kimataifa, mwanasheria wa maana Kisha upewe amri na Mbowe?Fala tuh kama mafala wengine.
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.

Una jazba sana aisee! tena za ovyo
 
Sasa serikali si wanastahili kebehi kwa kutokutends haki

Dogo vipi uko sawassea tumboni au ndo wale chawa
 
Kwenye jinai gwiji aliyebaki ni Majura tu! Jamaa anajua criminal law/practice mpaka anakera; ukimwona sasa physically yupo simpo kama mtu anaetumia ulanzi!

On the other hand Kibatala ni wa kawaida sana kesi zake za "kisiasa" ndo zinampa mileage
Huyu alikuwa trained na Masumbuko lamwai. nakumbuka nilikuwa na sauri miaka ya kati ya 90's
 
Kwenye jinai gwiji aliyebaki ni Majura tu! Jamaa anajua criminal law/practice mpaka anakera; ukimwona sasa physically yupo simpo kama mtu anaetumia ulanzi!

On the other hand Kibatala ni wa kawaida sana kesi zake za "kisiasa" ndo zinampa mileage
Majura balaa ndio wakili wa shkuba, hawa wengine wakawaida sana waendelee na bangi zao tu
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.

Unataka ajione underdog! Kwa taarifa yako ili uwe wakili mzuri unapokuwa ndani ya mahakame lazima utambe kama mbogo aliyejeruhiwa, vinginevyo hautashinda kesi hatamoja.
Ndani ya mahakama hakuna mamlaka.
 
Mleta mada nadhani umeshindwa kutafsiri in rational thinking umevaa uchawa na utiifu kwa wanaokupa ugali.

Heshima kubwa kwa wakili msomi Kibatala. Maana kuna kesi ukizisikia halfu ukiuliza defense team yuko nani unafurahi na unaota uwepo kwenye cross examination ya mashahidi na ushahidi wao.
Much respect kwa mawakili wasomi wote Tundu lissu, Peter kibatala, The late Bob makani, Mzee Kalunga, Hashim rungwe, kenedy fungamtama, Mama Tenga, Senior councel Mapande na wengineo wote mnaojitafuta
 
Huu Uzi umekaa kinafiki sana! Kibatala kamatia hapo hapo wala usilegeze! Sheria nchini kwetu zinatumika kuiba, kukandamiza wasiyo nacho na ulaghai wa hali ya juu. Nakuomba Wala usichoke, tetea tetea, historia itakukumbuka
Mtoa mada ni wale wanaokula Kwa urefu wa kamba zao.
 
Kibatala alikuwepo kwenye kesi ya kubumba ya ugaidi ya Mbowe hao polisi wako unaowasifia waliingia mitini.

Kingai na Simon Sirro walikuwa ni baadhi ya wanaotakiwa kuja kutoa ushahidi wakaingia mitini.

Wale mashahidi uchwara baadhi waliomezeshwa majibu walipokuwa wakizidiwa ilikuwa ni route za kwenda chooni karibia kila muda.
 
Mzee Wakili Richard Rwelongeza(surname imenichanganya kidogo), Late Daktari Masumbuko Lamwai¡ Late Herbert Nyange,Wakili Eric Ng'imaro, Late Moses Maira, Prof Chris Maina, Prof Gabriel Mgongo Fimbo,yule Wakili wa kesi ya Uhaini ya akina Hans Pope..Lakha (,role model wa Wakili Mayala P) ,Wakili Mauna Arusha na Wakili Majura Magafu ...hawa ni baadhi ya Mawakili walioitendea haki Tasnia ya Sheria na Uwakili Tanzania.. hakika umenikumbusha mbali mleta uzi
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.

Wewe uliyeandika hapa sojui umetokea sayari gani, kama serikali itashinda hiyo kesi tema mate hapa kwenye jamvi halafu usiache kwenda kusikilizia wajomba wanavyopelekewa moto tena kutoka kwenye kitabu chao chenye kurasa 1000 (PGO) utabaini hujui lolote uliandikalo
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.

Another smartphone in wrong hands. Subiri mle za kichwa you either win or lose in chambers sio kuja kutoa vitisho mbuzi huku mitandaoni. Subirini kiwarambe.
 
Kwa sababu ya kutaka kusimama na Mwabukusi au kuhusu kugombea TLS ?
 
Watulie tu uchaguzi tls unaendelea kama kawaida ,yani uchaguzi eti usimame kisa sijui nani huko kasusia watu sio wajinga kiasi hicho , akatafute kiki kwenye hizo kesi zake za kuku
 
Wajinga wengi nchi hii
 
Mimi Kibatala nilianza kumpenda kipindi alikuwa namtetea mh Mbowe kwenye kesi ya ugaidi ,mulitaka kumnyonga Mwamba nyie maswine.
Mbowe alikua kashapotea kwenye ile kesi, Serikali kuondoa lile shauri ndio ilikuwa pona yao.
 
Back
Top Bottom