Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 563
- 1,362
Kwenye hii biashara kati ya yanga na Fabrizio nani kanufaika zaidi na yupi kapigwa? maana yanga wao ndo wakwanza kumpost jamaa kuwa ametangaza jezi zao, na hivyo kutufanya kujua hilo huku lengo lao ni dunia ijue kuhusu jezi zao, wakati kwa upande mwingine fabrizo yeye hajaposti kwenye jukwaa lake rasmi zaid ya kuweka pale IG status ya masaa 24.