Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

....
 
Duuh kusema kweli mpaka wa wetu na Msumbiji unatakiwa ulindwe sana kuanzia Mkoa wa Ruvuma hadi Mtwara,angalau kidogo kuna Mto Ruvuma,ingekuwa ni eneo la nchi kavu jamaa wangekuwa wanaingia kiulaini,ila ifike wakati tuendane na Teknolojia,bila kutumia satelaiti za kijasusi tutakuwa tunapata shida sana na mipaka yetu..
 
SADC kama wameshindwa kazi waombe msaada mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi, magaidi wanapaswa kuchinjwa kama wanavyo chinja raia hata kama ni vijana wadogo watangulizwe jehanamu tuu
 
Kumbe ile miili ya kwenye viroba pwani ya bahari ya Indi from Mtwara mpaka coco beach source yake ndio hii?!

Ndio maana ilikosa watambuzi ndugu na Jamaa mpaka kuzikwa na Jiji?!


Politics na politicians wa nchi hii ni laana!
Yeah Nakumbuka hiyo miili hadi watu wakawa wanashuku utawala wa Magu ndio wanaua watu kumbe sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…