Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

No wonder Magufuli aliwatandika wale jamaa bila huruma na wengine ndio wakakimbilia huko Msumbiji, hawafai wale wakiingia mtaani hawakumbuki ndugu, rafiki wala jirani, ni risasi tu zitatembea mpaka wamalize kazi yao.
Wa kibiti walikua wanaua viongozi wa CCM,polisi,hawakua raia,nilikua huko kipindi hicho,palikua na maneno mitaani kwamba hao jamaa walifunzwa na mtu/watu toka jeshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…