Mbuzi bin katoliki ana balaa baya.. Hakuna mtu alofanikiwa kuacha kumla huyo mdudu. Hua nashangaa hata kama nimekula nikashiba nikavimbiwa, ukinipa kilo moja ya mbuzi bin katoliki namla tena nammaliza.Nasikia pamoja na kubadili kwake dini ameapa kutoacha kula 'mbuzi katoliki' kwa kusisitiza kuwa ni mnyama mtamu haswa.
Chezea mbuzi bin katoliki weye?!
Yaani ukigusa tu nyama yake umenasa, haijalishi wewe ni wa imani gani. Katika mataifa ya kiarabu inasemekana mbuzi bin katoliki nyama yake ndo yanaongoza kuliwa.Mbuzi bin katoliki ana balaa baya.. Hakuna mtu alofanikiwa kuacha kumla huyo mdudu. Hua nashangaa hata kama nimekula nikashiba nikavimbiwa, ukinipa kilo moja ya mbuzi bin katoliki namla tena nammaliza.
Hahahaaaa.. BBC walifanya utafiti mwaka jana, wamesema Bin katolini ndo nyama tamu zaidi duniani..Yaani ukigusa tu nyama yake umenasa, haijalishi wewe ni wa imani gani. Katika mataifa ya kiarabu inasemekana mbuzi bin katoliki nyama yake ndo yanaongoza kuliwa.
Mimi ni nani niupinge huo utafiti wakati hata kobazi Chizi Maarifa anakubaliana nao.Hahahaaaa.. BBC walifanya utafiti mwaka jana, wamesema Bin katolini ndo nyama tamu zaidi duniani..
Makobazi wanafiki tu.. Tunawafahamu wengi tunakula nao mdudu, sema ndo vile busara zinatuweka huru hatuwataji. lakini nina uhakika Chizi Maarifa ni mlaji mzuri tu.Mimi ni nani niupinge huo utafiti wakati hata kobazi Chizi Maarifa anakubaliana nao.
Mkuu mwaka huu (2026) lazima nifungue mgahawa ambao utakuwa mahususi kwa kuuza mchemsho wa pua na masikio ya kitimoto. Bahati nzuri kobazi wamejaa maeneo haya.Makobazi wanafiki tu.. Tunawafahamu wengi tunakula nao mdudu, sema ndo vile busara zinatuweka huru hatuwataji. lakini nina uhakika Chizi Maarifa ni mlaji mzuri tu.
Usisahau ulimi, miguu na mkia... Mchemsho wa bin katoliki unakichaa... Kobazi watajaa hapo mpaka sio poa..Mkuu mwaka huu (2026) lazima nifungue mgahawa ambao utakuwa mahususi kwa kuuza mchemsho wa pua na masikio ya kitimoto. Bahati nzuri kobazi wamejaa maeneo haya.
Hivyo vyote lazima viwepo. Nikinogewa na biashara nitakuwa nachemsha hadi nyeti yake.Usisahau ulimi, miguu na mkia... Mchemsho wa bin katoliki unakichaa... Kobazi watajaa hapo mpaka sio poa..
Hahahahaaaa Unawatoa mate kobaziHivyo vyote lazima viwepo. Nikinogewa na biashara nitakuwa nachemsha hadi nyeti yake.
We subiri tu mkuu, watampenda bure mbuzi katoliki.Hahahahaaaa Unawatoa mate kobazi