Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

Kwahio wafuasi wake vipi? Wakristo mmezidi upole halafu sisi tukinyoosha rula mnasema dini ya makatili ila ukweli ni Kwamba mnamasikhara Sana na dini yenu uyu ndio mlikuanamuita Nabii na kumpa hela
Shida yenu ni kumpigania mungu, badala ya yeye kutenda. Dini zinachezewa kwa njia njingi, mbona msianze kunyoosha kwa waganga wa kienyeji ambao wengi ni ma ustaaz?
 
Shida yenu ni kumpigania mungu, badala ya yeye kutenda. Dini zinachezewa kwa njia njingi, mbona msianze kunyoosha kwa waganga wa kienyeji ambao wengi ni ma ustaaz?
Hata yeye hajasoma alama za nyakati kuijua target ya huyo kiboko, kaingia humo ili kuwa mganga amejua alikokuwa asingetoboa kupitia uganga
 
Na huyu dini gani ?
FB_IMG_17674299416853979.jpg
 
Bazairwaa/Bakongolee biko na manoeuvres ya mingi sana.Bon,kama unaweka manoeuvres ya kwabo kwenye mbekete,yatayala pomoni.
NB:Kama haujaelewa nilichokiandika tulia.Sitoi tuisheni.
 
Huku ametoka kuzini.

Yaani kwake kula nguruwe ni dhambi kuzini kulewa kusengenya wizi siyo dhambi.


Kwani makafiri nyinyi mkila hao nguruwe ni lazima muwe mnawakashifu kashifu Waislam? Raha yenu nyinyi muone tunapotea kama nyinyi na kufuata mila zenu. Nguruwe unakula wewe, bado hutulii unatamani tamani na Muislam ale. Hamko radhi na Waislam mpaka wafuate mila zenu za kikafiri.
 
🤣🤣🤣🤣 nimekumbuka shuhuda za redioni nilisikiliza sa nane za usiku, ukiwa na akili zote kuzisikiliza lazima utacheka tu
 
Shida yenu ni kumpigania mungu, badala ya yeye kutenda. Dini zinachezewa kwa njia njingi, mbona msianze kunyoosha kwa waganga wa kienyeji ambao wengi ni ma ustaaz?
Unadhani Mungu wa waislam hatendi? mganga alishaambiwa ni dhambi kupiga ramli hivyo Hilo halituhusu ni la mganga ni sawa na mzinifu muislam Hilo ni lake lakini atokee mmoja kuvuruga utaratibu na kujiita nabiii ndio atakubali hii ni dini sio taasisi
 
Back
Top Bottom