Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

Kwani makafiri nyinyi mkila hao nguruwe ni lazima muwe mnawakashifu kashifu Waislam? Raha yenu nyinyi muone tunapotea kama nyinyi na kufuata mila zenu. Nguruwe unakula wewe, bado hutulii unatamani tamani na Muislam ale. Hamko radhi na Waislam mpaka wafuate mila zenu za kikafiri.
Acha wenge na kujipa umuhimu usiokuwa nao,tutake sisi uwe kama sisi wewe wa kazi gani na una umuhimu gani?

Nikikuuliza iko wapi kashfa ktk post uliyoni-quote unaweza ukanionyesha?
 
Itakua kahamia kuwapiga upande wa pili. Soon atakua mganga wa kienyeji.
 
Mimi nimeiangalia hii video kwa umakini tafsiri niliyoipata hapo inaonyesha hayuko serious hapo anafanya mzaha kuwakejeli/kuwadhihaki waumini wake wa zamani kuwaonyesha kuwa walikuwa wajinga kutapeliwa kiurahisi yeye sio Pastor kama walivyodhani wao.
 
Hongereni sana dini ya mnyaaanzi mmepata mfuasi tena nabii ,pambaneni naye na anzeni kumuweka kwenyebmatangazo yenu ya propaganda ya kueneza dini kama kawaida yenu. Sisi tumetua mzigo uliokuwa unafanya udhalilishaji kwenye imani yetu kama tulivyowakabidhi nabii tito
 
Nashanga mbona hawashukuru kupata muumini:
Yaani mtu aliyesilimu:
Si mnataka dunia yote iwe na Waislamu tu:
Bila kujali matendo Yao:

Sioni Ile Allahu Akibaru mbona
 
Bazairwaa/Bakongolee biko na manoeuvres ya mingi sana.Bon,kama unaweka manoeuvres ya kwabo kwenye mbekete,yatayala pomoni.
NB:Kama haujaelewa nilichokiandika tulia.Sitoi tuisheni.
Chatgpt ina kazi gani sasa
 
Mbuzi bin katoliki ana balaa baya.. Hakuna mtu alofanikiwa kuacha kumla huyo mdudu. Hua nashangaa hata kama nimekula nikashiba nikavimbiwa, ukinipa kilo moja ya mbuzi bin katoliki namla tena nammaliza.
Tokea lini zao la MNYAMA 666 likawa baya
 
Tokea lini zao la MNYAMA 666 likawa baya
666 ni mnyama au ni namba?? Na kama nyama alizaaje nguruwe??? Njoo unifafanulie hapa.. Hakikisha hujala mibange yako wala hujavimbiwa tende na halua.. Kama umefanya moja kati ya hivo viwili nenda kwanza chooni kisha nenda bafuni ukitoka hapo kalale kidogo. Ndipo uwaite baba zako ndo waje kuongea na mimi (waambie wanavokuja wasivae madela meupe).
 
Mbona povu linakutoka wewe mfuasi wa mnyama 666

Ufunuo wa Yohana 13:18
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Anayesrma huyu mnyama sio Dora ya kirumi iliyokuketeeni dini ya ukristo na kukuamlisheni mle nguruwe . Aje hapa
 
Kuanzia wewe, huyo yohana wako alie funuliwa, aliekufundisha huo upumbavu wako, wote nawaona wajinganga tu. Huo mstari wa kijinga ulotoka kwenye kitabu cha kizushi kilichoandikwa na wanafuki kwaajili ya wehu ndo kije kunizuia mimi kula mbuzi bin katoliki???????? Vua chupi nenda chooni chap, usije ukajinyea kitandani.
 
Mbuzi bin katoliki ana balaa baya.. Hakuna mtu alofanikiwa kuacha kumla huyo mdudu. Hua nashangaa hata kama nimekula nikashiba nikavimbiwa, ukinipa kilo moja ya mbuzi bin katoliki namla tena nammaliza.
Hiyo mambo ni kama madawaa ya kulevya, ukianza hauachi
 
Mbona povu linakutoka wewe mfuasi wa mnyama 666

Ufunuo wa Yohana 13:18
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Anayesrma huyu mnyama sio Dora ya kirumi iliyokuketeeni dini ya ukristo na kukuamlisheni mle nguruwe . Aje hapa
Alafu usirudie tena kumsema mnyama wetu pendwa. Kama huna hoja kaa kimya, usilete vitabu vyako vya wakoloni wa kiarabu wala wa kizungu. Maana nakuona mwafrika wa ajabu saaaaana. Kabila gani la kiafrika hawali ngurue?
 
Back
Top Bottom