Hakuna cha fatwa wala mama’ake fatwa!Hakuna hela huku
Akileta za kuleta tunamtangazia Fatwa
Huku ametoka kuzini.What?
Shida yenu ni kumpigania mungu, badala ya yeye kutenda. Dini zinachezewa kwa njia njingi, mbona msianze kunyoosha kwa waganga wa kienyeji ambao wengi ni ma ustaaz?Kwahio wafuasi wake vipi? Wakristo mmezidi upole halafu sisi tukinyoosha rula mnasema dini ya makatili ila ukweli ni Kwamba mnamasikhara Sana na dini yenu uyu ndio mlikuanamuita Nabii na kumpa hela
Ama kweli nyani haone kundule, kutwa kucheka kisa wekundu anaouona kwenye mikundu ya nyani wenzake.Huku ametoka kuzini.
Yaani kwake kula nguruwe ni dhambi kuzini kulewa kusengenya wizi siyo dhambi.
Hata yeye hajasoma alama za nyakati kuijua target ya huyo kiboko, kaingia humo ili kuwa mganga amejua alikokuwa asingetoboa kupitia ugangaShida yenu ni kumpigania mungu, badala ya yeye kutenda. Dini zinachezewa kwa njia njingi, mbona msianze kunyoosha kwa waganga wa kienyeji ambao wengi ni ma ustaaz?
Mbona ana mizaha huyu jamaaAnayejiita Nabii Kiboko ya wachawi sasa amebadili dini rasmi na kuwa Muislamu, na sasa anajiita Mohammed Bin Kiboko.
Ha haa we jamaa unavuka mipaka sasa!Hivyo vyote lazima viwepo. Nikinogewa na biashara nitakuwa nachemsha hadi nyeti yake.
Ninachoangalia ni pesa tu mkuu 😂.Ha haa we jamaa unavuka mipaka sasa!
Huku ametoka kuzini.
Yaani kwake kula nguruwe ni dhambi kuzini kulewa kusengenya wizi siyo dhambi.
Huyo bilionea.kumuona tu ilikuwa laki 5Hakuna hela huku
Akileta za kuleta tunamtangazia Fatwa
hata huko kwa mohamadia mtatapeliwa tu kwa dawa za kisuni na kishiaWafia dini wa Bwana yesu ndo viumbe vinavyoongoza kutapeliwa hapa duniani
Unadhani Mungu wa waislam hatendi? mganga alishaambiwa ni dhambi kupiga ramli hivyo Hilo halituhusu ni la mganga ni sawa na mzinifu muislam Hilo ni lake lakini atokee mmoja kuvuruga utaratibu na kujiita nabiii ndio atakubali hii ni dini sio taasisiShida yenu ni kumpigania mungu, badala ya yeye kutenda. Dini zinachezewa kwa njia njingi, mbona msianze kunyoosha kwa waganga wa kienyeji ambao wengi ni ma ustaaz?
Ninachoangalia ni pesa tu mkuu
Asante kwa ushahidi.. Ngoja kwanza niweke oda ya kilo moja rosti na ndizi...Na ni wateja wangu wakubwa sana kwenye Kitimoto