Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Genta tusikumbushane machungu......let by gones be by gones.
 
Mwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.

Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.

Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Hahaaaaaa
 
Alichokuwa anafanya sio sadaka ni wizi wa wazi ? Mbona nyie watu wengine mnatushangaza mpo dunia gani kwani.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…